Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Huwa tunaitumia hiyo excuse kuhalalisha kuendelea kuishi kweye ndoa na hao wazinzi (so far hata ndoa yenyewe kwenye spiritual realm inakuwa imeshavunjika). Inabidi tu niassume na kwa wenzangu kunawaka moto kama kwangu teh; ntafanyaje huku ndoa naitaka. It's wise kusema umeamua tu kuendelea kuishi na huyo mzinzi pamoja na yote (you don't owe anyone an explanation so far); kuliko kujifariji kuwa all men cheat ilhali unagugumia ndani kwa ndani

Hapa wengine tunajishaua all men cheat; ila tukihisi tu kuna mchepuko; tunautafuta then tunaenda kuanzisha timbwili au humo ndani kunawaka moto. Jiulize ni wangapi humu tukifumaniaga huwa tunawaambiwa waume zetu "hongera mume wangu; upo sawa tu kama wanaume wote? Kwa nini tuumie sasa ilhali hiyo ni tabia ya wanaume wote?

Bado wapo wanaume waaaminifu; wanaoheshimu wake zao, na viapo vyao vya ndoa kwa kutokuchepuka. Wengine ni personal decision tu kutokuchepuka; na wengine wanafanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. Ndoa ni kitu chema sana; ndoa si kuishi na maumivu kama wengi wetu tunavyojifariji hapa. Although uaminifu sio chagamoto pekee kwenye ndoa; lakini uaminifu ukikosekana ni jambo la kujeruhi moyo sana. Kuna makosa mengi lakini usaliti sio tu ni kosa; bali ni kuvunja imani ambayo mtu alikuwa nayo juu yako. Ni gharama kubwa sana kurudisha imani ilivunjika; na kwa wengi ni kidonda kisichopona.

Let's stop legitimising nonsense. Usaliti sio tu kitu ambacho mtu anafanya kinapita. Usaliti umevunja ndoa nyingi; umetenganisha wazazi na watoto; watu wameambukizwa magonjwa yasiyotibika; familia zimetelekezwa hazina mbele wala nyuma. Kuna michepuko inaroga na kuua wake ili yenyewe iolewe afu baadaye watoto ndo wanateseka n.k. If one decides to settle for nonsense; it's very ok, but let us not propagate it. Ni upumbavu na ni ubatili

Mithali 6:26, 32-33

26. Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;Wala fedheha yake haitafutika.
Hujawahi kuniangusha kabisa mdogo wangu. Ubarikiwe sana
 
Imekuaje mpaka ukagundua????? Kama ulianza kupekua simu yake na kumfatilia bhasi pole maana hakika ulipata mwanaume anaejielewa akawa anakuheshimu na kukutunza na familia. Unashindwa kumsamehe akati hata mchepuko wake hujawahi kukupigia simu kukutukanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nenda hata kwa mama yako mzazi umwambie huo upuuuzi kuwa unavunja ndoa kisa mwanaume kacheat nasema Ukija kupata ambae Hacheat jua ni HANISIII NA HANAA HELAAA.

MWANAUME HAKUUMBIWA MWANAMKE MMOJA POLE SANA NA UMSAMEHE MUMEO
 
Imekuaje mpaka ukagundua????? Kama ulianza kupekua simu yake na kumfatilia bhasi pole maana hakika ulipata mwanaume anaejielewa akawa anakuheshimu na kukutunza na familia. Unashindwa kumsamehe akati hata mchepuko wake hujawahi kukupigia simu kukutukanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nenda hata kwa mama yako mzazi umwambie huo upuuuzi kuwa unavunja ndoa kisa mwanaume kacheat nasema Ukija kupata ambae Hacheat jua ni HANISIII NA HANAA HELAAA.

MWANAUME HAKUUMBIWA MWANAMKE MMOJA POLE SANA NA UMSAMEHE MUMEO
Hongera kwa kumfokea huyo mama. Nakazia, MWANAMKE MPUMBAVU ANAIBOMOA NYUMBA YAKE MWENYEWE KWA MIKONO YAKE.
 
Hongera kwa kumfokea huyo mama. Nakazia, MWANAMKE MPUMBAVU ANAIBOMOA NYUMBA YAKE MWENYEWE KWA MIKONO YAKE.
Kabisaa muache ajidai kuinua mabega aende akapate ambae anamletea wanawake mpaka ndanii...!! Tena naona huyu jamaa alikuwa hacheat kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usilipe uzito hilo jambo ni kawaida hasa ukishafikiria kuwa hakuna mkamilifu duniani.. Wanaume ndivyo walivyo mumy na ht ukisema uondoke upate m'ume mwingine ni yale yale tu. Tena wew shukuru kakiri kosa na kuomba msamaha wengi wao huo msamaha utausikia kwenye paa la nyumba
Usijilazimishe kusamehe kwa haraka jipe muda moyo utasamehe taratibu
@cariha soma hapa
 
Usilipe uzito hilo jambo ni kawaida hasa ukishafikiria kuwa hakuna mkamilifu duniani.. Wanaume ndivyo walivyo mumy na ht ukisema uondoke upate m'ume mwingine ni yale yale tu. Tena wew shukuru kakiri kosa na kuomba msamaha wengi wao huo msamaha utausikia kwenye paa la nyumba
Usijilazimishe kusamehe kwa haraka jipe muda moyo utasamehe taratibu
Poleni sana.
 
Majukumu ya mume kwa mke:
1. Matunzo/ulinzi
2. Heshima
3. Kumsifia

Majukumu ya mke kwa mume:
1. Cha kwanza utii
2. Kumliwaza
3. Ushauri
4. Kumuombea heri/mema
5. Kumtunzia watoto mkijaaliwa.
6. Kumfichia madhaifu.
7. Kumtumikia
8. Kumuheshima
9. Kumtia Moyo/hamasa
10. Kusamehe
 
Sababu ya Mumeo kuchepuka, ni wewe kukosa Ubunifu ndani ya Nyumba yako, jiangalie wewe wapi sio mbunifu, na ukishalitambua hilo basi utamsamehe tu.

Sijaona kosa la Mumeo, amecheat sababu ndani ameshavizoea, anavyopata ndo vile vile Hakuna Ubunifu ndo maana anatoka nje kupata vipya ambavyo yeye kwake ataona kuna Ubunifu.

Wanawake wengi wanavunja Ndoa zao kwa Kukosa Ubunifu ndani ya Ndoa na likitokea la kutokea lawama anamletea mwanaume kuwa aridhiki ila anasahau ndoa inabebwa na Mwanamke, Nyumba/Familia inabebwa na Mwanaume.
 
Hongera sana kwankuwa muaminifu, kama ulivyoona comments za me wengi hapo juu, wamekiri kwamba hawaridhiki na mwanamke mmoja
Huo ndio ukweli Kwa mwanaume rijali siwezi ridhika na mwanamke mmoja

Ila tupo tunaofanya sacrifice ya kuridhika na mwanamke mmoja shida Inakuja pale wanawake tunaoridhika nao na kuwaheshimu na kutoa sadaka ya kuzuia hisia na tamaa Zetu Kwa wanawake wengine Kwa ajili Yao na ndoa wanaanza kutudharau na kuchukukia poa Kwa mazingira hayo kwanini nisimtafute anaenipa amani
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.

A cheating husband or wife will never change, they change techniques, so whatever decision you make jua tu kwambe he is doing the same thing!

But, I will do anything for my children, stay together, be a wife, and wait, make sure:

- Huongezi Mtoto tena.
- Kua tu mke responsible and good.
- Jaribu Kuwa positive na maisha!

Madhara ya kuachana:

- Maumivu kwa watoto ukiolewa tena.
- Ngumu sana kupata mapenzi ya dhati.
- Unaweza tumiwa vibaya na wanaume.

Ukishindwa kabisa Mama yangu, maisha haya mafupi, kama waweza kaa na watoto peke yako, uka avoid mahusiano mapya, mme akawatunza, wewe Mwambie akupishe hapo aende kwa hao wanawake wake!

Mke wangu alionyesha ku cheat toka 2010 nikajikaza sana for 7 years siongei Ila naugua, mwaka 2016 bila sababu nikaondoka home!

Najuta kupoteza mda wangu wa kuishi na machungu na maumivu, bora ningeondoka! Maisha ya ndoa ni utumwa sana sana, Yani Acha tu!
 
Back
Top Bottom