Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Kaa pembeni subiri mmeo aoe halafu uje uone haja zako utazipeleka wapi.
Nawe utakuwa ni mmoja wa wanaotembea na waume za watu.
Unajiunga kundi moja na anaechepuka na mmeo.
 
Wanawake bhana.!!
Mimi wangu alikuwa anachunguza chunguza simu yangu aafu anaanza kununa.
Siku nyingine nikamuambia, umepata unachokitafuta.
Kama huwezi kuniacha usinichunguze, kwani wewe umeona nakufuatilia!?
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Please rudi mammy...njoo hata dm...mnaendeleaje?
 
Wanawake bhana.!!
Mimi wangu alikuwa anachunguza chunguza simu yangu aafu anaanza kununa.
Siku nyingine nikamuambia, umepata unachokitafuta.
Kama huwezi kuniacha usinichunguze, kwani wewe umeona nakufuatilia!?
Unaona sifa mwenyewe
 
Mnakosea sana kusema ALL... inawezekana mume wako, baba yako , jirani yako na wote unaowajua wanacheat ila kamwe haiwezi kuwa WOTE
Sio jambo zuri na sio jambo la kufurahia ila ukweli ni kwamba All men wana cheat na ni kweli haturidhiki na mwanamke mmoja

Yaani sex hatuifanyi kwa upendo ni kama vile kukidhi haja yetu that why unakuta jamaa ana cheat na upendo kwa mke upo pale pale na mke hajui na huo ndo udhaifu unatufanya tucheat sana

Huwa wananichekesha wanasemaga ukiona mwanaume katulia jua

Hana pesa

Hana nguvu za kiume hvyo anaepuka fedhea
 
Tulia mama wanaume wote tuko hivyo
Mchungaji wangu Christopher makubi kanisani kwetu mzizima wa ufufuo alikuwa mtu wa dini mnoo yaani unaeza kusema alikuwa na utepe mwekundu mpaka kwenye nguo za ndani

Lakina mkewe mama Rose alipewa info akamfuma guest na Malaya
 
Sio jambo zuri na sio jambo la kufurahia ila ukweli ni kwamba All men wana cheat na ni kweli haturidhiki na mwanamke mmoja

Yaani sex hatuifanyi kwa upendo ni kama vile kukidhi haja yetu that why unakuta jamaa ana cheat na upendo kwa mke upo pale pale na mke hajui na huo ndo udhaifu unatufanya tucheat sana

Huwa wananichekesha wanasemaga ukiona mwanaume katulia jua

Hana pesa

Hana nguvu za kiume hvyo anaepuka fedhea
Haya maneno kamwambie mkeo ili aweze kuchukuliana na tabia yako ya uchepukaji...sio mimi
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.

Kwanza pole sanna dada yangu kwa yaliokufika nakuona unapitia wakati mgumu ila ningependa kukufahamisha yafuatayo,

1. Sidhani kama kuna mwanaume ambae amepata nafasi ya kucheat na hakucheat rabda awe na upungufu kwa hiyo uelewe hata ukiamua kua na mwanaume gani wote sisi ni sawa anaweza kua mwema mwanzo tu mapenzi yakiwa moto ila kiukweli sisi wanaume ni viunbe wa ajabu

2. Naomba uangalie sanna maisha na malezi ya watoto wako ingawa wapo ambao wanalelewa single parent ila usiwaharibie watoto maisha ya furaha

3. Fahamu kwamba katika hii dunia shetani hua anapandishwa cheo kikubwa akifanya mambo matatu na la kwanza ni kuvunja ndoa hivyo simamia kwenye imani ya dini yako kumvunja nguvu

4. Ogopa sana company ambazo zinakushawishi kuachana nao kuna hz NGO za haki za wanawake na jinsia zinaongoza kuharibu maisha ya familia ingawa tulitegemea zisaidie familia zinaacha watoto na wajane mitaani

5. Niamini yataisha na yatapita sasa hv una muda mgumu sanna na jitahidi usijitenge na mumeo ili shetani asije kupata nguvu leo watoto wako wahenga wanasema mtu havunji nyumba yake sababu ya hawara nakusihi usiharubu maisha yako maisha ya watoto na maisha ya mume wako
 
Na nyie wanawake mnawezaje kumuomba hela ya matumizi mwanaume ambaye sio mume wako unaomba utadhani unahaki ya kutunzwa nae kama mumeo hii tabia mnatoa wapi?!
 
Hivi nyie wanaume mnawezaje kuomba TENDO LA NDOA kwa mtu ambae sio mke wako..na mnang'ang'ania kama vile mna haki ya kupewa huo ujasiri mnapata wapi
 
Back
Top Bottom