Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa uwiiiiiiiiiiih, utakuta mwanaume ni kiba100, kweny show 16% F grade, kiumbe kike wa watu anamvumilia ili kumpa heshima na thamani yake, afu kenyewe kanajikuta kumba kumba kwa demuz pembeni,

Dadeki ni kupeleka nyapu nje ikutane na mikunyenge ya kiwango cha uchumi wa kati hadi ijute kukaa ndani tyuuuh 4 nothing, uwiiiiiiiiih
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ila wewe ni chizi eti mkunyenge wenye kiwango cha uchumi wa kati umenichekesha aisee.
 
Ukiona hivyo ujuwe tunatamani hayo maisha mazuri ndio tunajaribu kuvaa uhusika[emoji23][emoji23]

Kuna wengine mnaonekana tu kweli mnavyo haijalishi mtasema au hamsemi ila kuna wengine wenzangu na mimi kujifanya wanavyo lakini kiuhalisia wanakuna vichwa kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa ww bishana na mchangiaji! Ukweli ndo huo, duniani hutapata mume wako tu, wanaume ndivyo tulivyo, hatuwezi kuwa tunakula mboga ile ile kila siku tukirudi home, lazima tubadili, tunatofautiana tu namna za kuficha siri ili wake wasijue, ndo maana ukiwa legelege kwenye kuficha siri unakamatwa.
Alinikamata wife na picha za mchepuko za lodge ndoa ikiwa na miaka2 na miezi8, baada ya hapo hajawahi kunikamata tena hata na msg, miaka sasa! Ni upgrade mbalimbali tu zinatumika kwenye mfumo wa ufichaji siri

Kila mtu anapenda kubadilisha mboga nani anataka kula maharage kila siku.
Halafu kama mkeo alikukamata jua huna mke uko na room mate tu huyo alishakutia akilini na moyoni. Atapretend anakupenda ila yuko kwa one mission tu hapo watoto na si wewe.
 
Kuna wengine mnaonekana tu kweli mnavyo haijalishi mtasema au hamsemi ila kuna wengine wenzangu na mimi kujifanya wanavyo lakini kiuhalisia wanakuna vichwa kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena kipara nusu atoe damu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada unajiumiza bure...ule ushauri Wa RC wa Klmjr hukusikia?hakuna mwanamke anaeweza mridhisha mume pekee yake..amini nakuapia!!Mwanamke bora si yule anaemfuata fuatilia mume Bali ni yule anaefuatilia watoto wake. 98 percent of men hawacheat ila wanafanya tafiti juu ya uumbwaji wa Mungu juu ya umbwaji wenu na ndyoo furaha yao!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Na wajaluo mnavojifanya mnajua kupenda[emoji57][emoji57]... anyway... usithubutu kutaka kumjua mwanaume haswa Kama unampenda au unajua huwezi kumuacha..haswa Kama n mumeo wa ndoa... usithubutu... [emoji2788] USITHUBUTUUUUUU for your own health...[emoji2936][emoji2935]... Hapo Sasa sijui ufanyeje jamaani...Ila ukifanikiwa kupona usithubutu Tena kumjua mumeo...

Mimi bado nacoment kwenye post za wapendanao... "Wooow nice couple" alafu nakunywa maji nalala...
Last paragraph, hahhhahhhahha [emoji16][emoji16][emoji2960][emoji23],nimecheka balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom