cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,696
[emoji23][emoji23][emoji23]utetezi wa Hawa viumbeAnachokitaka mwanamke pia hakipatikani kwa mwanaume mmoja. Hivyo unatushaurije?
[emoji23][emoji23][emoji23]utetezi wa Hawa viumbeAnachokitaka mwanamke pia hakipatikani kwa mwanaume mmoja. Hivyo unatushaurije?
Umeweka sawa hapa wanaume wote msome hapa.Rahisi sana kuishi na mke akiwa na mimba, fuata masharti yote anayo kupa, tenga muda wa kutosha wa kuwa karibu naye, punguza marafiki wenye mtazamo tofauti, usijaribu kuwa na mchepuko kipindi hiki.
Siku ya kujifungua muombe daktari uwepo chumba cha kujifungulia. Utakapoona zile damu na maumivu anayopitia haki ya Mungu nakuapia kuanzia siku hiyo utaapa kwa miungu yako yote kuwa mke akitoka hapa salama hautamtenda kwa baya lolote. Hilo Agano linakuja automatikale na lina dumu sana. Pia mke anakuchukulia kama ni mtu mwenye upendo na unaye jali sana. Anajikuta anakupenda na kukuheshimu.
Kwanini uchepuke? Ile kitu kama haikuchanwa kuongeza njia ni siku tano tu na kama alichanwa ruhusu mwezi upite inakuwa tayari kwa matumizi halali ya nyumbani.
Muhimu:vaa condom kuepuka mimba na usinyonye maziwa maana utakuwa una dhurumu haki ya mtoto.
Yani ni mwendo wa bampa tu bampa Kama walivo wao na sisi tunakutana na watu wa different taste, Kuna wanaume wamebarikiwa kila idara, vile heshima tu basi.Ndo hivi dea, hawa wanaume ni kwenda nao sawa tyuuuh vile wanavotaka. Kmvn mbwai na iwe mbwai, wala hakuna kujali aaaaah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Furushi kama furushi.
Kwakweli turidhike tu babe, tutafanyaje sasa ikiwa Mungu mwenyewe harupi vyote, how comes nitegemee wewe binadamu mwenzangu unipe vyote? Tumeridhiana basi tulishongeshe tu.Binadamu haridhiki, umesema kweli yote. Mtu usipokuwa na self control utawamaliza na hakuna faida utapata zaidi ya kuleta mikosi, maradhi na kurudisha maendeleo ya familia nyuma. Turidhike na machaguo yetu, Jael katidhika na mimi[emoji39]
Jamani weee mkaka nenda [emoji548]kachukue chochote unachotaka, mie nakuja kulipa chap kwa haraka.Wengi hapo wanamuona muhanga achukulie kawaida lakini haiwezekani kabisa si Duniani mpaka mbinguni
Ila sehemu moja ambayo wanaume wengi tunakosea ni kudhani kwamba sisi wanaume tuna haki miliki ya kusaliti na tunatakiwa kusamehewa ( ambapo huu mtazamo si sahihi)
Halafu usaliti ni hatua ndefu sana msaliti anaanzia mbali sana, usaliti wa bahati mbaya almost ni hakuna
Hadi unajiuliza ndio akili hizo walizoambiwa wazitumie kuishi nasi?[emoji23][emoji23][emoji23]utetezi wa Hawa viumbe
Hata nyie huwa mnatofautiana Sana Kuna wanaume ma handsome very caring, they know to listen, Wana f...k vizuri. So watu hutofautiana hyo kusema kwenu ni haki si kweli ka wewe sio handsome mkeo anakurana na handsome mzuri kuliko wewe. So na kumridhisha mtu Ni ngumu vile watu tumetofautiana even it's taste, Sasa nyie ubinafsi mnajihalalishia.
In short jua hata wewe mkeo anakuvumilia na sio kwamba una mridhisha, kuanzia kwenye tendo hata kifedha
Rahisi sana kuishi na mke akiwa na mimba, fuata masharti yote anayo kupa, tenga muda wa kutosha wa kuwa karibu naye, punguza marafiki wenye mtazamo tofauti, usijaribu kuwa na mchepuko kipindi hiki.
Siku ya kujifungua muombe daktari uwepo chumba cha kujifungulia. Utakapoona zile damu na maumivu anayopitia haki ya Mungu nakuapia kuanzia siku hiyo utaapa kwa miungu yako yote kuwa mke akitoka hapa salama hautamtenda kwa baya lolote. Hilo Agano linakuja automatikale na lina dumu sana. Pia mke anakuchukulia kama ni mtu mwenye upendo na unaye jali sana. Anajikuta anakupenda na kukuheshimu.
Kwanini uchepuke? Ile kitu kama haikuchanwa kuongeza njia ni siku tano tu na kama alichanwa ruhusu mwezi upite inakuwa tayari kwa matumizi halali ya nyumbani.
Muhimu:vaa condom kuepuka mimba na usinyonye maziwa maana utakuwa una dhurumu haki ya mtoto.
Heshima ya kupiga pumbu kila chupi inayopita mbele yangu? Mimi huo naita upumbafu tu na ukichangiwa na ulimbukeni. Turudi kwenye mada dada, ushauri unaompa huyu mleta mada ni kuchepuka na atiwe mimba? Akishafanya hivyo mmewe akajua akamfukuza huyo mtoto wa nje atalelewa na nani? na kama baba yake nae akamkana? Mbona mnataka kuwapa shida viumbe ambao hata hawastahili kufanyiwa hivyo? Two wrongs do not make a rightSi ndio heshima mnayoitaka jamani, mbona leo mnaikana[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Kwanini aachane, hapo no kuachana hapo wabaki kulea maana sisi wanawake tukikukamata upendo hufa na ndio mnalalamika wanawake hawawajali.Kwa hiyo akiachana na mmewe kwa taratibu zote hatopata wa kumtoa hizo hamu huko aendako?
Pole kaka mke kucheat is something elseNot all men cheat. Usikariri dada yangu. Huwezi amini lakini ndiyo ilivyo. Kama mume wako anacheat usijumuishe wote. Sijawahi kumcheat wifi yako ila yeye alinicheat sana kwahiyo ningesema all women cheat ni jambo ambalo siyo kweli.
"MWANAMKE AKICHEAT, MWANAUME HAMRIDHISHI KITANDANI ILA MWANAUME AKICHEAT NI TAMAA ZAKE"
Halafu nyie mnakuwaga wapi mnatuachia haya mafurushi yanatuvurugia watoto na jamii[emoji134][emoji134]Wengi hapo wanamuona muhanga achukulie kawaida lakini haiwezekani kabisa si Duniani mpaka mbinguni
Ila sehemu moja ambayo wanaume wengi tunakosea ni kudhani kwamba sisi wanaume tuna haki miliki ya kusaliti na tunatakiwa kusamehewa ( ambapo huu mtazamo si sahihi)
Halafu usaliti ni hatua ndefu sana msaliti anaanzia mbali sana, usaliti wa bahati mbaya almost ni hakuna
Nashangaa mwanamke anaye mwamini Hawa wanaume furushi wengine hununua Hadi machangudoaHadi unajiuliza ndio akili hizo walizoambiwa wazitumie kuishi nasi?
Yaaan mie nashangaa mwanamke ana haha na gugu na goga moyoni kisa usaliti was mwanaume kwan huko nje wanaume wengine hawapo?Yani ni mwendo wa bampa tu bampa Kama walivo wao na sisi tunakutana na watu wa different taste, Kuna wanaume wamebarikiwa kila idara, vile heshima tu basi.
Mimba ni matokeo tu anaweza kujitahidi isitokee. Ila atafute heshima maana kuchepuka kunaleta heshima ya ndoa.Heshima ya kupiga pumbu kila chupi inayopita mbele yangu? Mimi huo naita upumbafu tu na ukichangiwa na ulimbukeni. Turudi kwenye mada dada, ushauri unaompa huyu mleta mada ni kuchepuka na atiwe mimba? Akishafanya hivyo mmewe akajua akamfukuza huyo mtoto wa nje atalelewa na nani? na kama baba yake nae akamkana? Mbona mnataka kuwapa shida viumbe ambao hata hawastahili kufanyiwa hivyo? Two wrongs do not make a right
Hizo ni fikra tu kuwa kuna tulizo la moyo kwasababu mwanaume anayekwenda kukutana naye bado atakuwa na asili ya wanaume. Labda useme kulipiza kisasi. Mi hiyo naona ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa adui yako. Ndio maana nikasema mpaka afikie kuzaa nje bora akalifanya hilo nje ya ndoa. Kwa asili ya mwanaume ilivyo na hata ukienda kwenye sheria ya ndoa imetamka hakuna mwanamke anayeruhusiwa kuwa kwenye ndoa zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Kwa maana hiyo atapoteza hata stahiki zake. Sheria haisemi chochote kuhusu mwanaume kuwa kwenye ndoa zaidi ya moja kwa wakati mmoja.Ushauri wako mubovu yeye anaenda kutafta tulizo la moyo na sio kulipiza Wala Nini Kama nyie ni polygamy in nature basi na yeye atafte tulizo la moyo. Usilopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako
Rahisi sana kuishi na mke akiwa na mimba, fuata masharti yote anayo kupa, tenga muda wa kutosha wa kuwa karibu naye, punguza marafiki wenye mtazamo tofauti, usijaribu kuwa na mchepuko kipindi hiki.
Siku ya kujifungua muombe daktari uwepo chumba cha kujifungulia. Utakapoona zile damu na maumivu anayopitia haki ya Mungu nakuapia kuanzia siku hiyo utaapa kwa miungu yako yote kuwa mke akitoka hapa salama hautamtenda kwa baya lolote. Hilo Agano linakuja automatikale na lina dumu sana. Pia mke anakuchukulia kama ni mtu mwenye upendo na unaye jali sana. Anajikuta anakupenda na kukuheshimu.
Kwanini uchepuke? Ile kitu kama haikuchanwa kuongeza njia ni siku tano tu na kama alichanwa ruhusu mwezi upite inakuwa tayari kwa matumizi halali ya nyumbani.
Muhimu:vaa condom kuepuka mimba na usinyonye maziwa maana utakuwa una dhurumu haki ya mtoto.
Huu ujinga wamejazana na kuona ni haki yao ya msingi kabisa. Wanazivunja ndoa zao kwa ujinga wao then wanakimbilia kuwalaumu wanawake. Alowaambia wanawake ni malaika nani?Nashangaa mwanamke anaye mwamini Hawa wanaume furushi wengine hununua Hadi machangudoa
Na kujua hadi real life la hao makahaba ya kimboka, khaaaaaaah wanashangaza km sio kustaajabisha,Nashangaa mwanamke anaye mwamini Hawa wanaume furushi wengine hununua Hadi machangudoa