cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,800
- 189,252
Huu ushauri hauko sawa kabisaaah, afu ungetumia busara na hekima ktk kutoa hoja,Imekuaje mpaka ukagundua????? Kama ulianza kupekua simu yake na kumfatilia bhasi pole maana hakika ulipata mwanaume anaejielewa akawa anakuheshimu na kukutunza na familia. Unashindwa kumsamehe akati hata mchepuko wake hujawahi kukupigia simu kukutukanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nenda hata kwa mama yako mzazi umwambie huo upuuuzi kuwa unavunja ndoa kisa mwanaume kacheat nasema Ukija kupata ambae Hacheat jua ni HANISIII NA HANAA HELAAA.
MWANAUME HAKUUMBIWA MWANAMKE MMOJA POLE SANA NA UMSAMEHE MUMEO
Pia chukulia wewe mkeo ndo amefanya hivi utakuwa ktk hali gani then upate ufahamu.