Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,365
- 157,679
Hawa watu mara nyingine hawana akili kubwa kama wanavyodhaniwa, au wanaweza kuwa na uwezo mkubwa kwenye kitu fulani kama kuongoza kampuni, u Engineer etc, lakini wakawa wa kawaida tu kwenye mambo mengine.
Pengine u nerd wao kwenye engineering unawafanya wasiwe na uzoefu kwenye mambo mengine ya maisha, wanakamatika kirahisi.
How does someone this powerful and visible act this risky, so openly? Yule mwanamke Mchina alikuwa anambusu openly camera zinapiga picha.