CEO WA NVIDIA AKUMBWA NA KASHFA NYINGINE.

Strong ladg

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
1,404
Reaction score
3,217
Wakati sakata la kuwa na mahusiano na mwanamke anaeaminika kuwa jasusi wa China halijapoa, CEO wa kampuni ya Nvidia Jensen Huang amekumbwa na kashfa nyingine ya kumsaliti mke wake.
Huang ametajwa kuwa alikuwa na mahusiano na mfanyakazi wa Nvidia anayeripoti kwake moja kwa moja.
Mfanyakazi huyo ni Kimberly Powell, makamu wa rais wa Nvidia anayeshughulikia masuala ya afya. Baada ya kashfa hii, kuna fununu kuwa bodi ya wakurugenzi wa Nvidia inafikiria kumtoa Huang kutoka kwenye nafasi yake ya CEO ili kulinda jina na hadhi ya kampuni hiyo.
Ila wanaume kazi mnayo, kudondoshwa na wanawake ni dakika sifuri tu, poleni😂😂😂😂.
 
Ni hatari kama hatari
Kwanzia Tanzania mpaka Marekani kote ni wanaume ndio wenye hatia tu
lkn Wanawake ni
watakatifu kisheria ¿¿¿
 
... linapokuja suala la mahusiano ya kingono.
 
Wakati sakata la kuwa na mahusiano na mwanamke anaeaminika kuwa jasusi wa China halijapoa, CEO wa kampuni ya Nvidia Jensen Huang amekumbwa na kashfa nyingine ya kumsaliti mke wake.
Huang ametajwa kuwa alikuwa na mahusiano na mfanyakazi wa Nvidia anayeripoti kwake moja kwa moja.
Mfanyakazi huyo ni Kimberly Powell, makamu wa rais wa Nvidia anayeshughulikia masuala ya afya. Baada ya kashfa hii, kuna fununu kuwa bodi ya wakurugenzi wa Nvidia inafikiria kumtoa Huang kutoka kwenye nafasi yake ya CEO ili kulinda jina na hadhi ya kampuni hiyo.
Ila wanaume kazi mnayo, kudondoshwa na wanawake ni dakika sifuri tu, poleni😂😂😂😂.
Huyo mwanamke wa kichina ni jasusi hatari sana.
 
Back
Top Bottom