namba moja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G Sam

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni mzigo mzito kwa Tanganyika. Ni wa kuvunja tena iwe ajenda namba moja kwa watanganyika

    Sisi watu wa Tanganyika ni ama hatuna akili na hatujitambui hata kidogo au tunajizima tu data ilimradi liende kwamba hatujipendi. Fikiria kuwa Zanzibar ina majimbo 54 ya uchaguzi. Katika majimbo hayo kila jimbo lina muwakilishi mmoja kwenda baraza la wawakilishi lakini pia lina mbunge kwenda...
  2. funaku

    Wanaotafuta Urafiki na Magufuli akiwa Hayati ni wanafiki na maadui namba moja!

    Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki ,muongo,dhalimu na adui mkubwa wa Magufuli. RiP J.P.M
  3. Mbepo yamba

    Namba moja na mbili hawapeani mikono; Ndio kama inavyosemwa AU ni dini?

    Kama ni dini mbona alimpa mkonio Putin?ZILONGFA NA ZITENDA
  4. B

    Kuongelea Gari Used Toyota Crown ndio gari yangu namba moja kwa kupenda

    Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma. Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
  5. L

    Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  6. Genius Man

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  7. Genius Man

    Jeshi lililofanya mauaji ya watu halipaswi kuendelea kufanya kazi ya kuwakamata wahalifu ikuwa lenyewe ni wahalifu namba moja

    Jeshi lililofanya mauaji ya watu halipaswi kuendelea kufanya kazi ya kuwakamata wahalifu ikuwe lenyewe ni wahalifu namba moja
  8. Yoda

    Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

    Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
  9. Ojuolegbha

    Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu

    Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
  10. Analogia Malenga

    Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

    Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi. Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa...
  11. K

    Heche kwa sasa ni namba moja kwa vijana

    Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida. Tumpe maua yake talent ni...
  12. sinza pazuri

    Ashurey ndio dancer namba moja wa kike Tanzania

    Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania. Vigezo anavyowapita wengine wote. 1. Anajua kucheza style zote za muziki 2. Ni mbunifu 3. Moves zake zinabadilika 4. Anaweza kucheza freestyle 5. Ni trainer mzuri sana
  13. B

    Msanii namba moja tanzania

    Habari zenu.. In current situation righit now MARIO ndo msanii mkubwa kwasasa tanzania,wale wawili diamond na alikiba wapewe heshima yao kwa kufikisha mziki wa Tanzania hapa ila kwa hali ilivyo sasa MARIO namba moja na JAY MELODY namba mbili,HARMONIZE namba tatu na RAYVANNY namba nne,yeyote...
  14. Waufukweni

    Majizzo ataja Playlist ya nyimbo zake bora mwaka 2024, Komasava namba moja Bongo

    Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi. Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
  15. Arsenal Gunner

    Mbowe ameongoza CHADEMA kwa miaka 20 sasa, hii ni demokrasia gani?

    Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
  16. Waufukweni

    Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa YouTube Kenya

    Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024. Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu...
Back
Top Bottom