Wanawake wamemuangusha CEO namba moja duniani!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,176
Reaction score
111,768
Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko mmoja ukiwa ni Spy wa China na mchepuko mwingine mfanyakazi wake!
HW5O-HqWUAA3L2q.jpg

HW4fX4OXoAA9GF5.jpg
 
Mhhh, ngoja nikae kimya nisije kuwa jensen wa pili.

But with all that money and power comes very heavy temptations, na wachache tu huweza kusurvive. Hii ingetokea hata kwa billgates ila alijiwahi.

Lakini mbona kina elon musk wana wanawake kibao hapa na pale ila hawajawahi kuongelewa au kuwa judged, sometimes ni muhimu kuwa na nguvu kwenye biashara yako, ukiwa mdhaifu tu umeisha.
 
Elon hana mke.
 
Elon Musk hana mke. Hivyo kuwa na mahusiano ya hapa na pale kwake sio scandal.

Tofauti na mtu mwenye mke alafu ni co-founder wa kampuni kubwa na ni CEO kuwa na mahusiano ya hapa na pale ni scandal na inaharibu image ya kampuni.
 
Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko mmoja ukiwa ni Spy wa China na mchepuko mwingine mfanyakazi wake!
View attachment 3708881
View attachment 3708882
Iyo mishangazi mbona boss kafeli wapi bora angekua pitrida uno feni......
 
umemjua elon juzi wewe.

Elon toka yuko na mke wake wa kwanza wanatalakiana na kurudiana alikua na michepuko kibao, tabia ambayo kaiendeleza hadi sasa japo hana mke wa ndoa.

Kinachombeba elon kwenye makampuni yake yeye ana nguvu sana sio kama kwa CEOs Wengine
Point ya mwisho pia ina matter. Huyu Huang ni co-founder ina maana alianzisha hii kampuni akiwa na wenzake wawili.

Elon Musk anakuwa na nguvu maana hizo project zake nyingi yeye ndio founder mwenyewe na unakuta ndio ana asilimia kubwa ya shares na asilimia zaidi ya 80 ya total voting power. So ni kama hagusiki.
 
Back
Top Bottom