Kupitia huu Uzi nimewafahamu wamama wa JF ambao kwenye nyuzi nyingine wanajifanya mabinti wabichi kabisa!
Otherwise, namheshimu mama yangu kama mzazi wangu. Lakini sio eti kwa sababu ya huo uchungu wa leba!
Women are damn good in ex a grating pain and pleasure!
Huyu dadaangu anaelia akikwaruzwa na msumari kidogo tu, siku akipitia uchungu wa leba unafikiri atasema nini?
Tunazo sababu nyingi sana za kuwaheshimu, ila huu uchungu wa labour sidhani kama uko hivyo mnavyouelezea!
NB: nimetahiriwa kwa kisu bila ganzi. Naelewa nini maana ya uchungu!