Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Hata mngeongea kwa lugha,hakuna namna yeyote unayoweza mwanamke ukaelezea maumivu ya kujifungua na mwanaume akakuelewa kwa kiasi unachotaka akuelewe..poleni mama zetu,dada zetu.,wake zetu,wapenzi wetu,.Mimi nimepanga nikiwa na mke,nitakua nae chumba cha leba,nione anavyo jifungua..najua itanifanya nizidi kumpenda mke wangu,mtoto wangu,mama yangu.na kua na HESHIMA kwa wanawake....poleni one more time..
 
Hebu nifafanulie kidogo kujizalisha hapo shost ilikuwaje?
Nadhani unajua wakunga wa govt hospitals wasivyojali sasa nilikumbana na aina hiyo wakati najifungua mtoto wangu wa tatu walikuwa wako bize na whatsup nikajihisi kupush nikapush na wakati nainama kukata kitovu ndo nesi kuingia na kuendelea na zoezi
 
Hata mngeongea kwa lugha,hakuna namna yeyote unayoweza mwanamke ukaelezea maumivu ya kujifungua na mwanaume akakuelewa kwa kiasi unachotaka akuelewe..poleni mama zetu,dada zetu.,wake zetu,wapenzi wetu,.Mimi nimepanga nikiwa na mke,nitakua nae chumba cha leba,nione anavyo jifungua..najua itanifanya nizidi kumpenda mke wangu,mtoto wangu,mama yangu.na kua na HESHIMA kwa wanawake....poleni one more time..
Hayaelezeki huo ndo ukweli nakumbuka mtoto wa kwanza niliyoyapitia aisee nilikiona kifo kabisa lkn shida ni uzembe wa manesi nashukuru nilitoka salama

Asante kwa heshima na nimeipokea kwa niaba ya wanawake wote waliowahi kupush
 
Kapeace kumbe umezaa na wewe hongera
 
Mimi nikikumbuka mke wangu alianza kunisumbua usiku kama saa 6 hivi kaniamsha ananiambia hajisikii kulala,kukaa wala kusimama...nikampeleka hsptl usiku huo lkn akaja kujifungua saa 12 asbh baada ya kuwekewa maji ya uchungu sasa hiyo story aliyonipa kuanzia hiyo saa 7 mpk 12 asbh utadhani alikaa labour mwaka mzima.

Hongereni sana kina mama
 
Naskia huwa mnakunya pia no kweli au ni siri yenu hyo hamsemi!Samahanini lakini
 
Mimi nikikumbuka mke wangu alianza kunisumbua usiku kama saa 6 hivi kaniamsha ananiambia hajisikii kulala,kukaa wala kusimama...nikampeleka hsptl usiku huo lkn akaja kujifungua saa 12 asbh baada ya kuwekewa maji ya uchungu sasa hiyo story aliyonipa kuanzia hiyo saa 7 mpk 12 asbh utadhani alikaa labour mwaka mzima.

Hongereni sana kina mama
hahaha nahisi kama JF Mimi peke yangu ndio sina mke..ila pole kwa shemeji..
 
Nyie waoga waoga sana kwetu tuko saba kwa mama mmoja nyie katoto kamoja mnasema hamrudi leba
 
M naona nitaomba kuingia leba na muhusika ...nataka masaa ya uchungu awepo !!!! Eti lije nmeshajifungua simpi amshike mtoto
 
Hamna kitu ambacho Hakina effects duniani. Epidural kwa nchi zilizoendelea ni kama panadol tu, kwanini upitie mateso kama option ya kupunguza maumivu ipo? Labda kwa TZ ndio tuogope maana bado ni kitu kipya kwetu. Ni sindano hiyo hiyo inayochomwa wakati wa operation na mbona tunaona kawaida tu.
Mhhhh mie kwangu No
 
Nilimsindikiza jirani yangu aliposhikwa na uchungu nikaona anazingua nikamtia makofi nikasepa mpaka leo ananichukia balaaa, cumamaye......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom