Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Morogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.

Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa

Aiseee I have a tale to tell
Pole sana sana
 
Yes love kiasi chake huwa inapunguza maumivu na kufanya zoezi zima la parturition kuwa rahisi kabisa.....

Especially when i hold your hand na kukuambia sweet word woow unajikuta tu mtoto kazaliwa darling....

you are such understanding and caring darling,... cant wait for us to be a family...blessed Sunday,honey.
 
Morogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.

Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa

Aiseee I have a tale to tell
Mwili umenisisimka.... kwann hukuwashtaki??
Nyie ndio mnaowaendekeza hao makatili kwa kunyamza na kusema "Mungu atahukumu"... My God i wish ningekua ndio mumeo halafu unaniambia hayo ulofanyiwa.. God Forbid.
 
Pole sana
 
Kuna watu wanapenda kesi balaa, hata ukimtazama anaweza kukushtaki. Manesi hutoa maneno ya kebehi ili uwahi kujifungua.
 
Morogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.

Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa

Aiseee I have a tale to tell
Pole sana mpendwa
 
Mwili umenisisimka.... kwann hukuwashtaki??
Nyie ndio mnaowaendekeza hao makatili kwa kunyamza na kusema "Mungu atahukumu"... My God i wish ningekua ndio mumeo halafu unaniambia hayo ulofanyiwa.. God Forbid.
Sasa hiyo trela,,,kuna kubwa mbili ndo nikikumbuka naliaga tuu

Ntakusimulia moja.
Unajua uzazi wa kwanza unakua hujui vitu ,,sasa ikafika muda nimeshikwa haja ndogo lakini haitoki,( naskia mtoto anaweza gandamiza pale kwenye kibofu)kila nikienda haja haitoki,,nikaanza kuhisi maumivu makali sana,,nikaita nesi,,akaja kwa ukali,, nini?? Nikamwambia nesi tangia Jana usiku sijakojoa mkojo hautoki ( tangia SAA mbili usiku mpaka saa mbili asbh) akanambia pumbavu wewe kwa hiyo Mimi Nije kukukojolesha Nina kazi zangu usiniite ,,akaondoka. Kufika saa NNE nikaona kama sasa nakufa,, kama nataka kupasuka,,nikaita kwa yowe kubwa kwa uchungu sana,,,nilikua na mwenzangu mmoja( tuliweka chumba chetu Tulikua na pressure) akaita nesi njoo naye akawa anaogopa akajua nakufa,nesi akaja nikamwambia tena akafyonza akaondoka, ,Bahati muda ule kuna kijana wa field akapita ( Mungu ambariki aliko) nikamwambia akasema nipe hela nikanunulie mpira nje,,akaja akaniwekea ,,yani pale pale kifuko kikajaaa,,akasema Dada ulikua unapasuka kibofu,,SITASAHAU ,,,
 
Manesi wanatoa maneno ya kebehi ili uwahi kujifungua.
Sina la kukujibu zaidi ila you are so pathetic and dump.
Hakuna,, havihusiani.kuna Dada niliyekua naye,,alikua na tumbo limekaa km Chungu afu liko juu halijashuka na siku zimefika,,waliitana wanacheka njooni muone tumbo gani hili,,,tumbo kibuyu,,aisee nilijionea maajabu ya dunia,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom