Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,767
Kwani kuzaa dhambi?Huu uzi nitajua masingle Maza wa JF.....
Maana hawa hawa ndio wanakuja kuomba wachumba huku, kumbe washazas
Mimba nazo ni changamoto, zinasumbua balaa. Mie nshajitosa tena wa pili ila nikikumbuka yale maumivu naanza kulia tu na kushikwa hasira hata kabla siku haijafikaMi ntazaa tu wa pili na watatu nikiweza japo sipendi kabisa namiss mimba tu
Mwenyewe nilipiga zoezi mpk dk ya mwisho ila cha moto nilikiona. Masaa mawili tu ila dah. Saa tisa hadi saa kumi na moja uhhhh hata sitaki kukumbuka.Mwenyewe nilipiga zoezi jamani ila basi tu
Siyo shida @ Mkuu!
Kwa hiyo hayo mabadiliko ya homoni Kwa mama mjamzito Ndiyo yapelekee kumuuma meno Mume wake?
Hayo mabadiliko ya homoni yamfanye awe kama mwehu ?
Kama umefuatilia michango yangu Kwenye hii Mada utakuwa umeona kuwa nakubali kuwa Kwa sehemu ni Kweli hayo mnayosema yanatokea lakini pia Kwa upande mwingine yanachangiwa na mapokeo!
Labda hilo neno la mapokeo ndo halikukupendeza Ila ningelisema Kwa kiingereza naamini ungelielewa vizuri sana tu!
Kwa sehemu kubwa ni mapokeo huo ndo ukweli!
Mabadiliko ya homoni yafanye uchukie watu ikiwemo mumeo?hapana jamani!
Hii haina tofauti na watu wengi kuamini kuwa somo la hesabu ni gumu sana kitu ambacho siyo Kweli hata kidogo!
Hakuna kitu kama hicho, mie mtoto wangu wa kwanza mara ya mwisho nilifanya mimba ikiwa na miezi miwili baada ya hapo nikamchukia mhusika hadi dakika ya mwisho. Lkn sikuhangaika kujifunguaHivi mjamzito asipofanya mapenzi kipindi chote cha ujauzito,anaweza akapata shida kujifungua?
Mimba nazo ni changamoto, zinasumbua balaa. Mie nshajitosa tena wa pili ila nikikumbuka yale maumivu naanza kulia tu na kushikwa hasira hata kabla siku haijafika






utalia vizuri siku ikifika.Hehehhe hata kwenye kushonw baada ya kujifungua hakuna ganziMi nilijuaga leba mtu anapigwa sindano ya ganzi kabla process haijaanza kumbe ni hivi hivi![]()
,sipati picha
Yaan yaan we acha tu, sipati picha siku hiyoutalia vizuri siku ikifika.
Private wanashona na ganzi. Gvt kwenyewe nasikia ukiwapa hela wanakushona na ganzi.Hehehhe hata kwenye kushonw baada ya kujifungua hakuna ganzi
Wanasema eti ganzi inachelewesha kupona, ila jamani dah wanawake sisi tuna shida.Private wanashona na ganzi. Gvt kwenyewe nasikia ukiwapa hela wanakushona na ganzi.
Haicheleweshi hata.Wanasema eti ganzi inachelewesha kupona, ila jamani dah wanawake sisi tuna shida.
Mimi nikimaliza huyu najifanya kbs sielewi somo, yaan atakuwa anajisemea khs mtoto wa tatu ndio kwanza sijali
Asante kwa kunifumbua macho aisee.Haicheleweshi hata.
Hapana, unajua kila mtu ana namna yake ya kupunguza maumivu. Mwingine akipiga kelele anaona kupata nafuu na wengine tunapenda ukimya tu.Wengi ni videko na wabishi hawataki kuwasikiliza maelekezo ya wakunga!
Ukishaangia leba kanuni ni moja tu fanya kila atakachokwambia mkunga huku ukimuomba Mungu wako kimoyomoyo !
Ukifanya hivyo hutachelewa nakwambia Mungu anakufanyia wepesi ajabu!
Unapopiga Makelele hayakusaidii na unajichelewesha mwenyewe!
wa kwanza...na tumezaliwa wawili tuWewe kwenye familia yenu ni mtoto wa ngapi?
Mi nikizaliwa we utapata faida ganiKwa sababu ni boy acha nikusamehe
Tukiacha kuzaa wewe yamkini usingezaliwa