GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,674
- 1,950
Pamoja na yote mnayoyasema uchungu sijui maumivu mwisho wa siku unakuta mwanamke anasema ohoo nina hamu na mtoto mchango. Ukweli kama wanaume tungekua tunaenda jando mara mbili ningefikiria sana kurudi Jando. Sio jando la hospital hili la kwetu huku Mara.
