Mamaa Africa
Member
- Mar 1, 2018
- 59
- 278
Kwa mlivyo nadhani hayo ndo maumivu makali sana ambayo huyapitia nyie kina mamaHabari Jf
Tukiwa tunamalizia malizia week la wanawake duniani hebu wanawake wa Jf tiririkeni kituko ulichofanya leba ulipokuwa na uchungu!!!!!
Mimi niliongea maneno yote kichwAni, mwisho nikasema namchukia ndugu yangu flAni ambaye kiuhalisia nampendaga sana
Aisee ile kitu achana nayo uchungu ulipozidi saana niliona bora nife kuliko kuendelea kuumwA namna ile,yani inafika wakati unaona kifo ndo kitu simple...
Tiririka sasa
Andika tu, siyo wewe mwenyewemm nakosa la kuandika aisee !arghh sitaman tena kurud leba aisee
Unaambiwa uchungu ndo maumivu makali zaidi dunianiKwa mlivyo nadhani hayo ndo maumivu makali sana ambayo huyapitia nyie kina mama
Wanakuja
nyie bado hamjaenda?Ngoja waje
Ahhaah mi nilimuambiaga marufuku kukanyaga hospitali ,,nikamchukia balaa lenyewe linalala usingizi mzuri mi nahangaikaWamama nawaheshimu sana. Nakumbuka mke wangu alitaabika siku nzima akaja kujifungua siku ya pili yake tena kipindi hicho mimi nipo masomoni. Kipindi anahangaika mimi nikawa napiga simu kujua anaendeleaje yaani alikuwa mkali sijawahi kuona nilikuwa nachimbwa biti si la nchi hii.
😡 😡 😡 😡Nakuambia shogaa siku mbili nikiona mwakaa
Ila mtoto akitoka tu maumivu yanaisha,,nesi akawa ananiona nahangaika mara natandika pale maana mvua ilikuwa inanyaesha nasikia baridi huku natokwa jasho hapo hapo
Kuna muda nilitamani wamvute wamtoe ili nipone
Nilizabwa makofi ya mapaja nikawaambia pigeni tu sisikiii maumivu,,niliwasumbua
Kuja kunyonyesha napo chuchu zinatoka vidonda mtoto akinyonya yaan zinachubuka ,,ulikuwa ukifika muda wa kunyonyesha nalia kwanza maana namdolishia mtoto nyonyo mpaka anazila kunyonya
Hiki kipindi sitaki kabisa,ntazaa wa pili lakin baadae
Mi ntazaa tu wa pili na watatu nikiweza japo sipendi kabisa namiss mimba tu😡 😡 😡 😡
Wa pili nawaza sana itakuwaje
KivipiKuna hatari ya kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye hii thread, tuwe makini
Marahabashikamoni kina mama
Nimeenda mara moja but sikupitia mateso sana..niliumwa uchungu nusu saa tuu nikajifungua..nyie bado hamjaenda?