cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,052
- 10,047
Mnakuza mambo bwana hata sie tunataabika kivyetuMama sabrina looo pole shogangu yani ulivyoelezea yote yalinikuta mimi, mtoto alisukumwa na manesi watatu huku dokta naye anavuta jamani wanaume wangejuaga kwa kweli wasingeletaga dharau, acha mama aitwe mama, toka nitoke leba aisee nimekuwa mgumu balaa hata nipitie kitu gani sijui kama maumivu yake yatafikia ule uchungu.
Shikamoooni wamama jamn
