Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

sirudii tena Mimi,mmoja ananitosha aisee

Nini zetu walikua wanarudiil mara 12 mama zetu mara nne hadi sita
Wa siku hizi mara moja yenyewe wanaogopaaaa


Pia nimewahi kusikia Maongezi ya watu wazima wamama Maana wako hapa wanaongelea dawa ya kupunguzaa uchungu kuchomwaa mgongoni au kisu

Je kuna tofauti yeyote ya mapenzi kwa mtooto kati ya mama ambaye kajifungua mtoto Ndani ya nusu kaputi yaani hakusikia lolote au kisu na mama Huyu aliyesukuma kwa jasho la damu?

Wamama hawa walikua wakisema ni muhimu Sana kuzaaa Kwa uchungu kama maandiko ilivyosema , kisu kiwe option ya mwisho baada ya kutapatapa
Yale maumivu ndio sadaka na gharama ya kumpata mtoto iweje wamama wa leo wengine wanayakimbia tena makusudiii ??!

Wanasema mama aliyepata uchungu Ana connection Kubwa na mwanaye kama “mungu” na anaweza hata kuhisi jambo haya Kwa mwanaye akiwa mbali Kwa tumbo kuuma , mwanamke aliyepata uchungu akimuona mwanaye anaumia au pengine bahati Mbaya kafariki annapata hisia za uchungu tumboni na ndio maaana anafungwa tumboooo ni kama a nakumbuka uzazi....

Mama aliyepata uchungu hawezi muacha mwanaye akiwa na mwezi na housegal akaenda disco au akalataaa kumnyonyesha
Hata kama Alikuwa kashindikana hatulii Nyumbani hiyo Tabia hupungua kwa kiasi kikubwa
Mama aliyejifungua kwa kisu hataweza kuchangia lolote kwenye Ushujaa wa kinamama hawa japo naye ni mama

Inahimizwa kuwatia Moyo wamama wajawazito wakifungue kwa njia Mungu aliyoagiza kama hawana tatizo la kitabibu linalotishia uhai wake na mtoto
 
Huuuuuuu! Nilipata MTU wa kuniandaa kisaikolojia kwamba nitaumwa sana, mtoto wa kwanza kweli alinisumbua masaa 7 na dripu ya uchungu! Mtoto wa pili ilikuwa dakika 20 tu.


@27 yrs naona nimeshajikomboa
 
nimeogopa etii
Sawa,

Ila kabla ya kutoa hayo maamuzi ni vyema ukareason kwanza.

Unakuta mtu yeye ni mtoto wa tano kwenye familia yao halafu anasema anaenda leba mara moja tu.

Kama mzazi wake angefanya hivyo ingekuwaje?
 
Sawa,

Ila kabla ya kutoa hayo maamuzi ni vyema ukareason kwanza.

Unakuta mtu yeye ni mtoto wa tano kwenye familia yao halafu anasema anaenda leba mara moja tu.

Kama mzazi wake angefanya hivyo ingekuwaje?
Asingekuepo

Hayo mara nyingi ni maneno tu hata kwenye khanga yapo maana ule/huo uchungu(kama walivyoelezea) sio wa nchi hii
 
Huuuuuuu! Nilipata MTU wa kuniandaa kisaikolojia kwamba nitaumwa sana, mtoto wa kwanza kweli alinisumbua masaa 7 na dripu ya uchungu! Mtoto wa pili ilikuwa dakika 20 tu.


@27 yrs naona nimeshajikomboa
Ongeza wawili basi. .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom