Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Mama sabrina looo pole shogangu yani ulivyoelezea yote yalinikuta mimi, mtoto alisukumwa na manesi watatu huku dokta naye anavuta jamani wanaume wangejuaga kwa kweli wasingeletaga dharau, acha mama aitwe mama, toka nitoke leba aisee nimekuwa mgumu balaa hata nipitie kitu gani sijui kama maumivu yake yatafikia ule uchungu.

Shikamoooni wamama jamn
Huyo dokta huwa mnaonana?
 
Kwangu uchungu wa mtoto haukuniuma kama nilvyoumwa kabla ya placenta kutoka. Yale maumivu hayaelezeki.
 
Habari JF,

Tukiwa tunamalizia malizia week la wanawake duniani hebu wanawake wa JF tiririkeni kituko ulichofanya Leba ulipokuwa na uchungu.


Aisee ile kitu achana nayo uchungu ulipozidi sana niliona bora nife kuliko kuendelea kuumwa namna ile, yani inafika wakati unaona kifo ndo kitu rahisi.

Ashukuriwe Mungu kuna kusahau

Asante mama
Hamna kitu kichungu zaid ya kujikwaa kidole cha mwisho wa mguu kwenye pembe ya kitanda mida ya saa kumi na mbili asubuh..
 
Unaambiwa uchungu ndo maumivu makali zaidi duniani

Heshimuni wake zenu na kuwapenda
Wanajitoa sana kwa ajili yenu, uchungu wa leba ni nusu kifo
Vp ule wa kubikiriwa maana mnasumbuaga sana
 
Mama Sabrina Na wewe ungepewa machungu ya kusaka pesa, hata dakika tu ungeyakataa. Ati unamwambia mama yako akuombee...kimoyomoyo atakuwa alisema "nilikutuma ukakate mauno guest!!!!"
 
Mzigua90 Wanawake manjiji over-rate sana. Raiti na wewe ungejua maumivu ninayopitia kuapata hela ya kukuhonga ukanunue wigi na lipstick...ungepewa kiti hicho ungekikataaaa.
 
Mi uchungu wangu nilibeba nguo zote kichwani nikawa nazunguka ward nzima huku namtukana baba watoto wang matusi mazitoo...basi uwa nikikaa nikifikilia na hili umbo langu lilivokua najihisi aibu sana ingawa miaka ishapita...wamama tueshimiwe
Likoje. Kapicha tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom