Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Daah,napatamani sana.....mwaka ujao usipite bila kuteeendaaa muujizaa,.Amen.
NdioMmmmmh
Sure chiefWabongo tunaweza. Tatzo ni miundo mbinu. Hauwez kuingia wakat kuna wanawake wa watu wanajifungua. Manake unaweza kukuta chumba cha kujifungua kina vitanda vi 4
Mbiti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WALOKOLE mna shida sana..ina maana ww hujui mwanamke mwenye mimba hormone huwa zinabadilika!bado hayo nii mapokeo?
Amen [emoji4]Daah,napatamani sana.....mwaka ujao usipite bila kuteeendaaa muujizaa,.Amen.
Yaani najikuta nacheka tu kwa comment hii. Jibu LA manesi ndo limenichekesha zaidiHAHAAAAA HAAA AFE WAKO TU AISEEE ...
HapanaHivi mjamzito asipofanya mapenzi kipindi chote cha ujauzito,anaweza akapata shida kujifungua?
Wacha weeeww[emoji7] kakaAmen [emoji4]
WizoooDaah,napatamani sana.....mwaka ujao usipite bila kuteeendaaa muujizaa,.Amen.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mngejua maumivu wanaume tunapata mnapotutenganisha na hela zetu wala msingeleta huu uzi.
Nani huyo, mwenye bahati mpaka unayetaka kumwibukia?[emoji12] [emoji12] [emoji12]Alete experience hapa aiswe mjanja, kama bado nimuibukie na uzi mwanana
Naam dada...habari ya uzima![emoji2]Wacha weeeww[emoji7] kaka
Hebu nifafanulie kidogo kujizalisha hapo shost ilikuwaje?Dawa ya uchungu ni kula chakula bora na kufanya mazoezi mepesi wakati wote wa ujauzito unaumwa lkn kawaida tu nakumbuka uzao wa tatu nilijizalisha mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha hapo ulipotofautisha mkuuLeba inanifanya niwaheshimu sana wanawake, na niwashangae sana wasichana.
Asanteni wanawake!
Hahahanyie bado hamjaenda?
Wengi wenu ni waoga wa kushuhudia tukioWabongo tunaweza. Tatzo ni miundo mbinu. Hauwez kuingia wakat kuna wanawake wa watu wanajifungua. Manake unaweza kukuta chumba cha kujifungua kina vitanda vi 4