UbarikiweNdio maana NINAWAHESHIMU WANAWAKE SANA
Congratulations boy, u wish u could be a women? U can do a plastic surgery to fulfil ur desireHalafu hamkomi kuzaa ,I wish I could be a woman... Nisingezaa ngooooo..
Una umri gani kwanza? hope itakuwa ur under 20Tena ni bora nisingezaliwa kabisa, dunia imejaa dhiki na stress za hovyo tu, kila leo namkufuru Mungu.
Hawakuwahi kudemand heshima, walijiheshim wakaheshimika. Lakini wa kisasa mnataka kufanya kama nyie ndio wa kwanza kuingia labor, wakati kwa mama zetu hizo hospital zenyewe hazikuwepo..Walikuwa hawalalamiki au wewe hukuwahi sikia maongezi yao?
Tena hapo uchungu umekolea akaja daktari eti mbona lipstic imefutika nikuletee uongezee nikamwambia naomba utoke mbele ya macho yanguHahahahahaa nimecheka sana hapo kwenye wigi





Hahaha! MuoneHata wewe utakuja kusimulia ulivong'ata kitanda tena cha chuma bila meno kuuma. .
Siku si nyingi Ledada![]()
HahahahaMmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
WALOKOLE mna shida sana..ina maana ww hujui mwanamke mwenye mimba hormone huwa zinabadilika!bado hayo nii mapokeo?
hapana jamani!Unaambiwa uchungu ndo maumivu makali zaidi duniani
Heshimuni wake zenu na kuwapenda
Wanajitoa sana kwa ajili yenu, uchungu wa leba ni nusu kifo
NdiyoUmewahi kuumwa jino Mamaa Africa ?
Siyo shida @ Mkuu!
Kwa hiyo hayo mabadiliko ya homoni Kwa mama mjamzito Ndiyo yapelekee kumuuma meno Mume wake?
Hayo mabadiliko ya homoni yamfanye awe kama mwehu ?
Kama umefuatilia michango yangu Kwenye hii Mada utakuwa umeona kuwa nakubali kuwa Kwa sehemu ni Kweli hayo mnayosema yanatokea lakini pia Kwa upande mwingine yanachangiwa na mapokeo!
Labda hilo neno la mapokeo ndo halikukupendeza Ila ningelisema Kwa kiingereza naamini ungelielewa vizuri sana tu!
Kwa sehemu kubwa ni mapokeo huo ndo ukweli!
Mabadiliko ya homoni yafanye uchukie watu ikiwemo mumeo?hapana jamani!
Hii haina tofauti na watu wengi kuamini kuwa somo la hesabu ni gumu sana kitu ambacho siyo Kweli hata kidogo!