Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Nauona uchungu wako binamu, pole kwa yote..... siku hizi umri umeenda yaani twaingia kwa kunusa humu..... duh nimesoma mwanzo mpaka mwisho nimecheka sana.....Yaan acha tu humu siku hizi unapitwaa mara wanawake wa jf wana matiti makubwa kama matikiti ya morogoro kweli binam,naandika kwa uchunguu huku najifuta makamasi kabisa
Wanaume wa JF tulikua sie bwana, tunakutafutia hadi Kazi na hatukutangazi!!!