Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Na wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
Hahaaaa yani nimechekaa, khaaa!!
 
Mambo kama hayo wanafanya tuogope hata kuonana nao mtu mwenyewe na sura ya baba yangu hapa kesho na kesho kutwa unaambiwa mbaya
Huyo dada kidogo ajitoe jf ana hamu sasa,halaf fatilia wao sasa Unabaki kumuachia Mungu tu
 
Nacheka sio kama mazuri mama ila vinachekesha sisi ndio tunatakiwa tuwe hivyo sio wanaume halaf hayo mambo wafanye viben10 utakuta mtu mzima tu anafanya hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna siku espy aliandika kitu kuhusu rafiki yake aliombwa hela na mwanaume wake bada ya mda mke wa yule jamaa kapiga simu akamshkuru kuwasaidia kwa hela ya kula sijui espy anakwambia bada ya kumpa pole rafiki yake alicheka sana
Duh! Hii noma sana.
Mbaya zaidi wakikopa hawalipi
 
Dah sina demu,sina rafiki wa kike niponipo tu!
What's wrong with meh!
Kumbe kuna mikopo ya bure upande wa pili!
Ndomana wachizi wangu wana maisha mazuri nowadays!
Thanks but NO,ni umama!
 
Dah sina demu,sina rafiki wa kike niponipo tu!
What's wrong with meh!
Kumbe kuna mikopo ya bure upande wa pili!
Ndomana wachizi wangu wana maisha mazuri nowadays!
Thanks but NO,ni umama!
Naomba niwe rafiki yako
 
Back
Top Bottom