Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Watakosaje cha kuongea kumbe nikibadili dp shunie mm nishajizoelea vinguo vifupi anamwambia hivi shunie huwa simuelewi na nguo zake ananielewa Mr wangu tu ndani inatosha sana jaman na hizo nguo mnunuaji ni yeye
Atakua alikua anakutaja si bure
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wanasambaza na picha zetu kumbe. Wakiwa wanatusema wanasindikizia na picha
Na sie si kazi imeanza jana vichwa sita tumekutana hakuna kitakachoharibika

Na wale wa kujisemesha flan nishapita kumbe hata hajawah kukuona ukucha zaidi ya jamii photos muache kabisa,,maana wengine humu tushaonana na watu wawili tu,,sasa sijui wengine mmetokea
 
Na wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
Mamaeeee[emoji23] [emoji23] si akaweke mbuzi zake bondi,
 
Na sie si kazi imeanza jana vichwa sita tumekutana hakuna kitakachoharibika

Na wale wa kujisemesha flan nishapita kumbe hata hajawah kukuona ukucha zaidi ya jamii photos muache kabisa,,maana wengine humu tushaonana na watu wawili tu,,sasa sijui wengine mmetokea
Lile zoezi la kushare picha zao linaendelea.
 
Wakunyumba acha tu kuna mkaka huwa namuheshimu aisee nahisi asilimia 50 ya wanawake wa humu anawajua walivyo na atafanya juu chini lazima akujue au apate no yako na alivyo anavyokuja huwezi mdhania acha tu niishie hapa mwisho wa siku asimuonyeshe mtu picha yangu halaf huyo mtu najuana naye anamwambia hivi unamjua shunie ndio huyo masikini kumbe mtu wa watu ananijua ila nilimpa yake nilimwambia sio vizuri hivi kwa mfano angekuwa hanijui ingekuwaje na pics ikisambaa kwingine thread itakuhusu jf
Huyo kaka anaishi Dar?
Hebu elezea nimmanyee
 
Wewe wakiona picha yako watakosa cha kuongea ila mwanaume kuongea vya uongo hahihusu kwa kweli.
Mi kuna kiherehere alipata pic yangu ingekua sura ya kumuachia Mungu angeninanga kwelii lakin picha tu ikamnyamazisha shenziiii kabisa
 
Back
Top Bottom