RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,506
- 135,539
Akinipa namba najitoa JFUjue nina wivu
Akinipa namba najitoa JFUjue nina wivu
Wanasoma hapaa na wengine kama wanajiandaa waacheSi mumseme tuu jamaani
Siwezi kufanya hivyo. Never.Unakubali ama unakana hilo jalada?
Basi vizuriSiwezi kufanya hivyo. Never.
HhhaaaAkinipa namba najitoa JF
Wacha maneno makali weye mrembo....aende kwa huyo aliemzaa
Kundi kuubwa la mbuzi. Haaaaaa nimekumbuka soko la mbuzi kishiriNa wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
HhhaaaUkimaliza dinner usisahau kutuma
Kuna thread uliweka picha yako....wewe mzuri sana!Ukimaliza dinner usisahau kutuma
naomba unikope buku 50000 nitakupa baada ya kuuza kuku wanguSisi mnatupa hamtukopeshi.
Hivi umejificha wapi mzee wa jehanam nichukue tujifiche woteNauona uchungu wako binamu, pole kwa yote..... siku hizi umri umeenda yaani twaingia kwa kunusa humu..... duh nimesoma mwanzo mpaka mwisho nimecheka sana.....
Wanaume wa JF tulikua sie bwana, tunakutafutia hadi Kazi na hatukutangazi!!!
Jamani sasa mliishia wapi lakini?Nauona uchungu wako binamu, pole kwa yote..... siku hizi umri umeenda yaani twaingia kwa kunusa humu..... duh nimesoma mwanzo mpaka mwisho nimecheka sana.....
Wanaume wa JF tulikua sie bwana, tunakutafutia hadi Kazi na hatukutangazi!!!
Pole usikate tamaa utalipwa tuuKuna katabia kamezuka ka wanaume kukopa either girlfriend au marafiki zake halafu hawarudishi, kukopa sio kitu kibaya ila unavyokopa wakati huna mpango wa kurudisha sio uanaume na ubinadamu, yani mwanamke umkope papuchi na hela pia jamani? Ndo maana wanawake tunaonaga saa nyingine bora kutembea na wenye hela tu maana nyie tunaowavumilia na umaskini wenu bado mnakopa na vihela vyetu vidogo tulivyo navyo. As for me ukinikopa papuchi fresh sababu utamu tunapata wote ila hela yangi jamaani siwezi kukuelewa. Wanaume wa zamani hawakuwahi hivi halafu hawa wanaoaibisha jinsia ya kiume sasa hivi sijui wametokea wapi, kuna kesi nyingi sana mtaani za aina hii kijana anakuja na fix kibaooo unajua umepata mwanaume mfanye maisha kumbe kaja kukudanga, kwa style hii mpaka magufuli atoke madarakani kuna wanaume wataanza kujipanga barabarani nao wanunuliwe.
MWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?
HahahaAkinipa namba najitoa JF
Yani wanaume mmeikimbia jf mmetuachia wadangaji.... Vibaya hivoWacha maneno makali weye mrembo....
Btw mekumiss jmn halafu Yule kaa wala hukunionesha...
.
Umekumbuka ule moto wakee na maneno ya biblia hahahHivi umejificha wapi mzee wa jehanan nichukue tujifiche wote
Dada kwani umekaa hapo uwe unatoa utambulisho basi nijue ni shemeji jamanUjue nina wivu
Sasa nitamjuaje ndo nshamdondokea RRONDO...Wanasoma hapaa na wengine kama wanajiandaa waache