Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
Sijawahi kukutana na hivyo vioja kwanza anidangie nitacheka sana nitamuuliza hivi umefikilia ninii au me ni mama wa fursaSio mmoja wengii
Sijawahi kukutana na hivyo vioja kwanza anidangie nitacheka sana nitamuuliza hivi umefikilia ninii au me ni mama wa fursaSio mmoja wengii
Basi mkopane wenyewe kwa wenyewe sio kutukopa sisi
Vijanaume vingi tu tena moja ni li shabab kabisaWewe Dina hivi kuna mwanaume humu JF anakopa kwa mwanamke ?
Mwisho umwambie mbaya hafikii vigezo vya kuwa na weweWewe muoga sana Evelyn Salt jasiri anaweza hata kuniambia nikanywe nae.
Siku vibubu vikijaaa ndo mrudi kudanga tena sio[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Tumewachokaaaa mtuache tupumueeeee mchonge vibubu mjiwekee hela
HahahaahhaBasi mkopane wenyewe kwa wenyewe sio kutukopa sisi
Mmmmmh kwan nawe ulisha dangwaSisi kudanga zenu ni wajibu wetu sio nyie mtudangie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwoga wangu unanisaidia sana Dina unashangaa upo nae hapo hapo unalithread umeandikiwa hujijuiMwisho umwambie mbaya hafikii vigezo vya kuwa na wewe
Wanaume wa jf mna dhambi cc Evelyn Salt
Ahahhahaha yupo nitajie pmila kuna kiranja wao huyo bingwa wa kukopa
Na akapambane kweli, nimemjibu kwa kifupi ila kwa msisitizo "VYUMA"usimpe mwaya apambane na uanaume wake
Mm ukishaanza mambo za kunidangia ndio ticket ya kukuachaMmmmmh kwan nawe ulisha dangwa
Hivi unadhan tunatania hapaWewe Dina hivi kuna mwanaume humu JF anakopa kwa mwanamke ?
hatutaki mkakope vijijini kwenuSiku vibubu vikijaaa ndo mrudi kudanga tena sio[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahahaahah evee nakugawaaaaVijanaume vingi tu tena moja ni li shabab kabisa
Haya nipe namba nitumeAcha tu niwe na woga sio kwa kunywa pamoja geto hivi mwisho wake utaisha vipiii
Naomba tu usije, maana naona huu mwaka nimeuanza vibaya....siku ya mwaka mpya tu, kuna kidume kilinifata eti nikikopeshe ml.2 nikaishia kucheka tuShem hata mimi utanikazia nikija kuomba assist?
Utume mahela mengi basi sio elf 10 hukoHaya nipe namba nitume