Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zanguNaomba tu usije, maana naona huu mwaka nimeuanza vibaya....siku ya mwaka mpya tu, kuna kidume kilinifata eti nikikopeshe ml.2 nikaishia kucheka tu