Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

INAKOPA SERIKALI NA HAILIPI HADI KUSAMEHEWA NA BRAZIL ITAKUWA SISI VIUMBE WANAUME???
Mwaka huu tutawakopa hadi PAPUCHI..
Papuchi mnakopaga siku zote japo nayo si kawaida ila na hela juu? muwe na huruma kidogo
 
Kuna ki demu yaani tumebadilishana namba hatujamaliza hata week kikaanza kunipiga mizinga. Nikasema hio mizinga yako ilengeshe iende baharini, na mimi bado nazipenda pesa zangu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Shubamiiit ...labda Msali sana JK arudi madaraka ndio mtakutana na hayo maganda ya ndizi ..
Sasa hivi inapofikia hadi Condom tutapokezana kununu .. ths time zamu yako next time zamu yangu.
Ndo tutakaporudi kwa wazee wetu tu.
 
Mimi wifi yako kila nikimuangalia naona hana mpango wa kurudisha mikopo yote sasa dawa na mi nitaanza kukopa halafu asikie raha ya kutorudishiwa pesa
Kama alishakukopa hajarudisha ukianza kumkopa na wewe usipomrudishia hata Mungu atakuelewa maana unarudisha kilicho chako.
 
Back
Top Bottom