Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Haishi dar ila huwa anakuja mara moja moja yeye ndio kanifanya nizidi kuwaogopa wanaume wa jf hivi kutaka kuwajua wanawake wa jf anataka kugundua ninii
Anaishi mkoa gani? Sema mie wenye picha zangu hata siwaogopi maana hawana cha kunisema nacho na ni wastaarabu pia hawana mdomo mdomo.
 
Ndomaana nipo one man army!!!
Nawaogopeni wanawake!
Haswa wa humu JF!
Dah,[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Sisi hatuna shida tena ukiwa na pesa hivi hatuna kabisaa hatusemii tunajua kutunza siri
Nyinyi ndio mnatuangusha kutunanga sijui tuna matiti makubwa kama ya morogoro,,mara wafupi mara flat screen mara tuna mabwawaa heee jamani
 
Ndomaana nipo one man army!!!
Nawaogopeni wanawake!
Haswa wa humu JF!
Dah,[emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Basi tunaogopana.
 
Hahahaha naona mambo ya mikopo siku hizi..... JF imekua saccoss eeeh.....
Yaan acha tu humu siku hizi unapitwaa mara wanawake wa jf wana matiti makubwa kama matikiti ya morogoro kweli binam,naandika kwa uchunguu huku najifuta makamasi kabisa
 
Sisi hatuna shida tena ukiwa na pesa hivi hatuna kabisaa hatusemii tunajua kutunza siri
Nyinyi ndio mnatuangusha kutunanga sijui tuna matiti makubwa kama ya morogoro,,mara wafupi mara flat screen mara tuna mabwawaa heee jamani
Wenye hela hawanaga mambo za ajabu halafu ndo maana wanaheshimiwa.
 
Back
Top Bottom