Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Mi kuna kiherehere alipata pic yangu ingekua sura ya kumuachia Mungu angeninanga kwelii lakin picha tu ikamnyamazisha shenziiii kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungesikia Dina mwenyewe anaringa wakati ana sura ya babu yake
 
Huyo kaka anaishi Dar?
Hebu elezea nimmanyee
Haishi dar ila huwa anakuja mara moja moja yeye ndio kanifanya nizidi kuwaogopa wanaume wa jf hivi kutaka kuwajua wanawake wa jf anataka kugundua ninii
 
Na wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!

Duh hii kali sasa ama kweli mmetuchoka
 
Back
Top Bottom