Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Kuna katabia kamezuka ka wanaume kukopa either girlfriend au marafiki zake halafu hawarudishi, kukopa sio kitu kibaya ila unavyokopa wakati huna mpango wa kurudisha sio uanaume na ubinadamu, yani mwanamke umkope papuchi na hela pia jamani? Ndo maana wanawake tunaonaga saa nyingine bora kutembea na wenye hela tu maana nyie tunaowavumilia na umaskini wenu bado mnakopa na vihela vyetu vidogo tulivyo navyo. As for me ukinikopa papuchi fresh sababu utamu tunapata wote ila hela yangi jamaani siwezi kukuelewa. Wanaume wa zamani hawakuwahi hivi halafu hawa wanaoaibisha jinsia ya kiume sasa hivi sijui wametokea wapi, kuna kesi nyingi sana mtaani za aina hii kijana anakuja na fix kibaooo unajua umepata mwanaume mfanye maisha kumbe kaja kukudanga, kwa style hii mpaka magufuli atoke madarakani kuna wanaume wataanza kujipanga barabarani nao wanunuliwe.
MWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?
Ukitaka kujua ugumu wa kudai mkopeshe mpz wko
 
Ila inahuzunisha na wanaume wa humu walivyo na midomo jamani halafu mkienda pm mnaenda kukopa hela. Kuna mmoja juzi kanifuata nimkopeshe elfu 10
Kama namuona anavyokusoma hapaa hahaha,,,sura hawana,pesa hawana,midomo sasaaaaa wamebarikiwaa kutuandika vibayaa
Safari hiii wakiandika mmoja vibaya sie tunaandila watanoo,na hivi ile kazi tushafanyaa ,sasa hivi ukitongozwa na mtu humu hakuna kuficha tuoneshane pm na picha tubadilishane tuone midomo yao bado itapepeta
Wanaume wanaongea kutuzidi sie wanawake umeona wapii
 
Ndo dawa yao. Ukijijua huku una kazi ya kutupondea na unakuja pm kutongoza na vipicha vyako vya ajabu tunakuanika humu. Ukiwa bingwa wa kututukana humu na pm usilete miguu yako. Na picha zao tunazo sasa jomoni na namba za simu zipo. Tumechoka kunyanyaswa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wanasambaza na picha zetu kumbe. Wakiwa wanatusema wanasindikizia na picha
Wakunyumba acha tu kuna mkaka huwa namuheshimu aisee nahisi asilimia 50 ya wanawake wa humu anawajua walivyo na atafanya juu chini lazima akujue au apate no yako na alivyo anavyokuja huwezi mdhania acha tu niishie hapa mwisho wa siku asimuonyeshe mtu picha yangu halaf huyo mtu najuana naye anamwambia hivi unamjua shunie ndio huyo masikini kumbe mtu wa watu ananijua ila nilimpa yake nilimwambia sio vizuri hivi kwa mfano angekuwa hanijui ingekuwaje na pics ikisambaa kwingine thread itakuhusu jf
 
I swear.. mi nilikopwa kweli pm. Na siko peke yangu wengine pia wanalalamika kaka zetu mnawakopaaaa.. hawapendi wenzenu... nyie zenu mnakaa nazo zetu mnakaa nazo.
Mzigua90 uliyepishan na gari la malove nakuja pm nikukope 50, khaaaaas
 
Wakunyumba acha tu kuna mkaka huwa namuheshimu aisee nahisi asilimia 50 ya wanawake wa humu anawajua walivyo na atafanya juu chini lazima akujue au apate no yako na alivyo anavyokuja huwezi mdhania acha tu niishie hapa mwisho wa siku asimuonyeshe mtu picha yangu halaf huyo mtu najuana naye anamwambia hivi unamjua shunie ndio huyo masikini kumbe mtu wa watu ananijua ila nilimpa yake nilimwambia sio vizuri hivi kwa mfano angekuwa hanijui ingekuwaje na pics ikisambaa kwingine thread itakuhusu jf
Wewe wakiona picha yako watakosa cha kuongea ila mwanaume kuongea vya uongo hahihusu kwa kweli.
 
Wewe wakiona picha yako watakosa cha kuongea ila mwanaume kuongea vya uongo hahihusu kwa kweli.
Watakosaje cha kuongea kumbe nikibadili dp shunie mm nishajizoelea vinguo vifupi anamwambia hivi shunie huwa simuelewi na nguo zake ananielewa Mr wangu tu ndani inatosha sana jaman na hizo nguo mnunuaji ni yeye
 
Back
Top Bottom