Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Utamkopaje demu?? Mademu hua wanakopwa Kipochi Manyoya tu... Mambo ya hela waachie wao wenyewe.... Jiulize kwa nini wakati ukiwa chuo, boom likizama anatafuna boom lako lote, na baby nyingi zakutosha,boom lako likikata jaribu kumwambia naomba walau jero nikanunue mkate,utapewa budget hiyo,utazani yeye ndo waziri wa fedha wa Tanzania... Hua zinaga tabia yakukopa wanawake,kwanza sio wavumilivu,leo umekopa usije shangaa ukajikuta ushatangazwa kwa watu wake Zaidi ya sita, ingawa sio wote wenye tabia kama hizi
Hahahaah we unatujua vizurii cc espy
 
Kuna katabia kamezuka ka wanaume kukopa either girlfriend au marafiki zake halafu hawarudishi, kukopa sio kitu kibaya ila unavyokopa wakati huna mpango wa kurudisha sio uanaume na ubinadamu, yani mwanamke umkope papuchi na hela pia jamani? Ndo maana wanawake tunaonaga saa nyingine bora kutembea na wenye hela tu maana nyie tunaowavumilia na umaskini wenu bado mnakopa na vihela vyetu vidogo tulivyo navyo. As for me ukinikopa papuchi fresh sababu utamu tunapata wote ila hela yangi jamaani siwezi kukuelewa. Wanaume wa zamani hawakuwahi hivi halafu hawa wanaoaibisha jinsia ya kiume sasa hivi sijui wametokea wapi, kuna kesi nyingi sana mtaani za aina hii kijana anakuja na fix kibaooo unajua umepata mwanaume mfanye maisha kumbe kaja kukudanga, kwa style hii mpaka magufuli atoke madarakani kuna wanaume wataanza kujipanga barabarani nao wanunuliwe.
MWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?


Nguvu yakutafuta pesa ni artificial na ngvuvu yakupanda mwanamke ni natural, kwa mwanaume yoyote anayeamuka asubuhi hogo la jang'ombe likiwa limesimama ni lazima akupande tu, iwe hana hela au anazo,iwe ana nguvu zakutafuta pesa au awe hana nguvu zakutafuta pesa.... Tupeni papuchi,hilo ni tulizo la moyo kwa mwanaume awapo na mawazo au pindi atakapo mahangaikoni.....
 
Hahahha vyuma vimekaza hawana namna, inabidi wakope tu. Unakuta mtu kajibebesha majukum makubwa kuliko kipato chake.
 
Back
Top Bottom