Bi. Haika Yuko sahihi. Kuna wanaume ni Gold-diggers. Tabia mojawapo ya u-gold digger ni kijana kupenda mishangazi(wanawake wakubwa kiumri)

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
37,366
Reaction score
86,835
Hamjambo!

Kwa asilimia tisini na tisa kijana mwenye future kubwa, anayejitambua, mchapakazi, anayejiamini hawezi kuwa na wazo la kutoka na mwanamke mtu mzima, lishangazi. Huwezi kuta kijana mwenye kazi ya kueleweka, mwenye biashara nzuri, akili ya kiume umkute anakimbizana na mishangazi.

Ni wanaume Gold-diggers ndio wenye mawazo kama hayo. Gold diggers kiasili ni wavivu kimwili na kiakili.

Hawapendi kujituma.
Sio wachakarikaji.

Muda wote kuwaza urembo n utanashati. Muonekano. Kwa sababu hayo ni mambo mepesi Sana hayahitaji nguvu kuyafikiri na kuyafanya.

Ni kama wanawake wanaotoka na vibabu au wabab waliowazidi umri karibu kuwazaa kabisa. Hawa na hao wanaume wote ni Gold-diggers

Hakuna mwanamke mwenye power, uchumi mzuri, na kazi ya kueleweka aache kuolewa na Kijana wa rika lake wafurahie maisha. Ati ampende Mzee. Huyo mwanamke hayupo. Wote ni Gold diggers

Kwa sasa wanawake nanyi mtakuwa mkiwakejeli wanaume wavivu wenye Tabia hizo mkiwaita Gold diggers kama wanaume tunavyowafanyia.

Kwa sababu kwenye Jamii yetu, kuna mambo akifanya mwanaume sawa, lakini akifanya mwanamke Kelele.

U-gold digger unaumiza wamama, wabibi, kuna watumishi wa umma wanachukua mpaka mikopo kuwapa wanaume majizi, ma-gold diggers.

Kuna Dada mmoja kutoka Tengeru Arusha alinipigia simu akanisimulia jinsi mchumbaake alivyomfanyia umafia wa kiuchumi. Aiseeh! Kuna watu hawana huruma.

Yule Dada anafanya kazi tena ustawi wa Jamii😀😀 lakini kwa aibu ya kufanyiwa u-gold digger anashindwa kumshtaki huyo jamaa.

Si unajua wanawake wanasemaga hawatoagi pesa😃. Kumbe wanatoaga bhana.
Sasa anaogopa akisema Rafiki zake na wazazi watamcheka na kumshangaa inakuwaje amchukulie mkopo mwanaume ambaye hajamuoa.
Kijana kakimbia na milioni 11 dadeki.

Hivyo Bi. Haika yupo sahihi, wanawake nanyi mjichunge sana kwenye hela zenu. Wapo wanaume ni mafisi hawana huruma kabisa.
Kama sisi tunavyopeana elimu na kuamshana na ninyi msikae kimya. Peaneni elimu ninyi kwa ninyi.

Msitegemee kuna wanaume wawasemee ninyi. Haipo hivyo. Kila kundi lazima lijisemee lenyewe sio kusemewa na wasiohusika.

Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mambo yetu wanaume kupenda mishangazi haiwahusu 😁
Screenshot_20260608-153231.png
 
Nasema hivi… Acha za wanawake nazo ziliwe. Za wanaume zimeliwa for too long. After all, hela haipotei—inazunguka tu miongoni mwetu!😁
 
Nenda Mlimani City pale Samaki Samaki utakutana na Wanaume Gold Diggers wakiwawinda wadada na wamama walikuwa kufanya shopping wakitengeneza ukaribu wao wa uongo na kweli kwa biashara fake wanazomiliki ili waongezewe mitaji mwishowe Wana wa blackmail kwa kuwarekodi wakati wa mizamuano na Kila siku anakuwa anatishia kuachia connection endapo hatolipwa Milioni 50.

Poleni wadada, wamama na mishangazi mnaopenda utamu na kuamua kujizima data kwa kuendekeza kunyonywa K, kusuguliwa vizuri na muonekano ya wakaka handsome wa mjini

Poleni wadada, wamama na mishangazi mnaopenda utamu na kuamua kujizima data kwa kuendekeza kunyonywa K, kusuguliwa vizuri na muonekano ya wakaka ha

Huko Gym nako ni eneo la mawindo ya vijana gold diggers
Alafu mbaya zaidi nilishangazwa na kijana mmoja yeye anatumia mpaka ndumba
 
Back
Top Bottom