Kinachonishangaza hawa wanawake hawaamini kama wanaume nao ni binadamu kama wao,Mzunguko wa pesa hauchagui jinsia.Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Sasa nikupe pesa ya bure kwani mie babako?Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Inategemea kama ye anapotaka unamzinguwa nawe lazima uzinguliwe mamba vululuvululu.Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
well saidLabda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
anhaaaHuna ndugu mpaka uombe watu Baki?
Mbona wanaume hawawaombi ninyi?
Acha kujidhalilisha na kuuvua utu wako na thamani yako kama mwanamke!
Muombe Mumeo pesa, omba wazazi pesa, omba ndugu zako pesa hasa mliozaliwa wote au ndugu za Baba au Mama yako.
Hakuna upendo kwenye kuomba omba watu Baki.
Mwanamke anayeomba pesa mtu asiye mume wake huwaga wanaume tunakuwa tunamchukulia Kwa namna ya kupekee
Kwa hyo nyie mlitumwa kuwa omba omba?Mlitumwa muwe wanaume?
Si kwamba wataongeza dose mkuu?Dah! Nashukuru sana kuona wanaume tunaamka toka usingizini
Nusu kaputi tuliyopigwa toka zama za Adam ndio inaisha nguvu...
Kama hupendi kutoa usipende kupokea
Upewe ulinzi wa kutoshaTafuta pesa zako dada, tafuta pesa huone ni jinsi gani ni Raha kuzila bila kupangiwa... Pesa ya mtu anayeitwa mwanaume ni lazima akitoa ilipwe tu, akikusaidia basi ujue ana expect something from you. Wachache Sana ndiyo husaidia mwanamke bila kutegemea kitu, lkn wanaume wengi akikusaidia ujue jiandae kutoa mbususu, atakusumbua tuu... Mwanaume ambaye ukimuomba hawez tegemea kitu Toka kwako ni baba, kaka.na ndugu wengine. Lkn siyo asiye ndugu yako Tena awe anaisaka Kwa jasho haswaaautaisoma namba.
Kibaharia zaidi, huwa hatusemi hatuna hela, hata kama hamna hata mia mbovu, Pisi ikiomba mbala, inapatikanagaa mbona.Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Hatukutumwa, kwani nyie mlitumwa muwe wanawake wa kuishia kuombana hela ?? SI ungekuwa mwanaume na wewe utafute zako!!Mlitumwa muwe wanaume?
Wanatafuta na ndo maana Wana OMBWA wao. Wewe unahisi ni kwanini mwanamke asiombe Hela Kwa mwanamke mwezie?Wanaume wa JF nini shida linapokuja suala la mwanamke kuomba pesa? Nimesoma comments chache zimeandikwa kwa hasira nyingi.
Tafuteni pesa kaka zangu ni kawaida mwanaume kuombwa pesa na sio lazima kutoa vilevile.
Kumbe watu wanafaidi hivi?Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Najibu kwa niaba ya wengi, sio kwamba hatupendi kuwapa hela au chochote kutoka kwetu hapana! Kwanza huwa tunajisikia fahari sana tunapo mpa mtu kitu haswa mwanamke.Wanaume wa JF nini shida linapokuja suala la mwanamke kuomba pesa? Nimesoma comments chache zimeandikwa kwa hasira nyingi.
Tafuteni pesa kaka zangu ni kawaida mwanaume kuombwa pesa na sio lazima kutoa vilevile.
Wangekua na za kutosha wasingekua na hasira hivi. Imagine mtu hajaombwa yeye ila kaandika comment kwa hasira.Wanatafuta na ndo maana Wana OMBWA wao. Wewe unahisi ni kwanini mwanamke asiombe Hela Kwa mwanamke mwezie?
Hakuna mwanaume asiye na hela.Sema zinatoka Kwa hisabati.