Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wew huna wazazi mpaka uanze kuomba wanaume pesa ambao hawajakuoa?

Ukianza kuomba hela mwanaume kwanza akilini anaona huna tofauti na Malaya...

Mwanaume akikupenda atakupa hela mwenyew...

Sema nini tutunze watoto wetu wa kike..tabia za kuomba wanaume hela ni sababu ya umaskini uliopo kwenye familia nyingi
Umemaliza. Umasikini ni tatizo kubwa.
 
Yani 30k uifuate nyumbani kwake? Ni mnakaa mtaa mmoja ama?

Ukitaka kula sharti uliwe. Wewe una shida ya hela na yeye ana shida ya utamu.
Halafu huo utamu unaosemekana mpo ni upi huo, pipi ni tamu ok lakini utam wa pipi na mate ya mtu, so huo utamu sio kutoka kwenu bali ni hisia binafsi za mtu. Hakuna mwenye utamu bali ni hisia tu, na ndio maana unaweza kusikia utamu wa aina ule ule ambao ungeusikia ukiwa na mwanamme au mwanaume nje yao.
 
Najibu kwa niaba ya wengi, sio kwamba hatupendi kuwapa hela au chochote kutoka kwetu hapana! Kwanza huwa tunajisikia fahari sana tunapo mpa mtu kitu haswa mwanamke.
Lakini nyie wanawake mmekuwa wadanganyifu sana, mmekuwa wasio na shukurani na kujali, mmekuwa wa ku ignore munaemuona hana kitu au hawapi kwa wakati mkitakacho, lakini pia mmekuwa wa kupokea tu nyie hamjali kutoa kwetu isipokua hii sehemu ya mwili wenu,hata shukurani basi mngetupa hata ya kinafki.

Malalamiko na maoni mengi ya wanaume inaonyesha ni jinsi gani wengi mpo hivyo.
Ni kweli wanawake wengi wako hivyo. Anakuomba pesa kama kukupima imani au kukukomesha flani hivi. Ukiona unampa mwanamke hela na yeye harudishi shukrani au hupati unachokitaka ni bora uache tu... kama unataka utamu na mwanamke anakuzungusha kwa kukuomba omba pesa na wewe unatoa ni bora ukaacha. Mwanamke anatoa utamu hata bila hela vizuri kabisa.
Pesa zako mpe mtu anaekupenda, anaeshukuru ama la toa kama unampa rafiki bila kutegemea malipo yoyotel
 
Wanaume wa JF nini shida linapokuja suala la mwanamke kuomba pesa? Nimesoma comments chache zimeandikwa kwa hasira nyingi.
Tafuteni pesa kaka zangu ni kawaida mwanaume kuombwa pesa na sio lazima kutoa vilevile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafikiri kanuni ya kutoa ni kutotarajia chochote kwa unayempa...mengine ni manunuzi na hongo tu
 
Yani 30k uifuate nyumbani kwake? Ni mnakaa mtaa mmoja ama?

Ukitaka kula sharti uliwe. Wewe una shida ya hela na yeye ana shida ya utamu.
Tunaomba ujengewe sanamu tumtoe yule askari wa Posta uwekwe wewe na tunaomba pia ikiwezekana comment yako tukuwekee lamination nakuhifadhiwa pale makumbusho kwaajili ya faida ya vizazi vitakavyokuja shukrani umetisha sana bidada 💞💞
 
Yani 30k uifuate nyumbani kwake? Ni mnakaa mtaa mmoja ama?

Ukitaka kula sharti uliwe. Wewe una shida ya hela na yeye ana shida ya utamu.
Huu msumari wa moto.
Japo sikubaliani na hili.
Kumla mtu kisa amekuomba 30k ni sawa na kumbaka au kununua changu.
Atakupa lakini hisia zake hazipo kwako.
 
Na wenyewe wasije humu kulalamika kuwa tunawanyima hela.
Halafu wanakazana tu kutuambia, MWANAUME TAFUTA HELA VINGINEVYO WAREMBO UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI... Sasa tukitafuta ili tusiwaite shemeji nayo inakuwa shida kutwa kutulalamikia kuwa tunamegeuza mapenzi kuwa biashara...

BY THE WAY, wanasahau kuwa wanwake wanauoza mbususu ni wafanya biashara pekee wanaouza bidhaa na kisha kuondoka nayo..
 
Wanaume wa JF nini shida linapokuja suala la mwanamke kuomba pesa? Nimesoma comments chache zimeandikwa kwa hasira nyingi.
Tafuteni pesa kaka zangu ni kawaida mwanaume kuombwa pesa na sio lazima kutoa vilevile.
Shida sio kutuomba shida wamekuwa omba omba sisi wenyewe tuna majukumu mengi ya Wazazi, ndugu zetu wa karibu na mimi binafsi sasa nikiwekeza sana kwako mafanikio ya maisha nitayapataje, siri ya kuwa na maisha mazuri ni lazima uwe mchumi sometime kumbuka tupo kwenye level ya mahusiano tu sio mke wangu kwanini ni risk kiasi hicho
 
Wanaume wa JF nini shida linapokuja suala la mwanamke kuomba pesa? Nimesoma comments chache zimeandikwa kwa hasira nyingi.
Tafuteni pesa kaka zangu ni kawaida mwanaume kuombwa pesa na sio lazima kutoa vilevile.
Hiyo imeandikwa wapi? Mimi kinachonifurahisha wadada wa kibongo ni maadvocate wa 50/50 lakini wanaishi tofauti na hiyo ishu.

Mwanamke anayestahili pesa ni mke na mama tu wengine tulishakubaliana kuna mchongo nausikizia au njoo uifuate ghetto.
 
Halafu wanakazana tu kutuambia, MWANAUME TAFUTA HELA VINGINEVYO WAREMBO UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI... Sasa tukitafuta ili tusiwaite shemeji nayo inakuwa shida kutwa kutulalamikia kuwa tunamegeuza mapenzi kuwa biashara...

BY THE WAY, wanasahau kuwa wanwake wanauoza mbususu ni wafanya biashara pekee wanaouza bidhaa na kisha kuondoka nayo..
🤣🤣
 
Kwanza kwanini umuombe pesa?
Wewe ndio chanzo cha tatizo, yaani mkiishiwa pesa mnaamini sisi ndio hatuishiwi.

Hata sisi tuna shida zetu na tunaishiwa, ila sisi Wakinga kuipata pesa yetu utumie akili ya ziada.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom