Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Mimi mwanamke ambae ninaweza kumpa ela bila kumgonga ni yule ambae nikishikwa na genye zangu hua ananipa bila masharti na bila kinyongo.. Yani simu moja tu kashafika getto (tena kwa nauli yake) tunafurahi kisha anasepa (kwa nauli yake pia). Huyu hata usiku wa manane akinipigia ana shida ya laki namtumia. Kwa bahati mbaya wanawake wa dizaini hii tangu nibalehe nimewapata watatu tu (nimewamiss sana Sarah, Anna na Amina [emoji10]).

Siku hizi nawapata hawa ambao ukimchana njoo getto analeta longo longo za nitumie nauli, nywele zangu zimefumuka siwezi kutoka (hapo kama nimebanwa sana na genye natuma tu nauli na pesa ya kusukia) akija getto anachezea mpini-nyama tena nahakikisha namwaga mpaka ubongo [emoji39] akisepa tumemalizana. Sasa mwanamke wa dizaini hiyo hata siku akitaitiwa na shida zake anataka nimpe ela, siwezi mtumia, ni lazima nasisitiza LAZIMA aifate getto...

It shouldnt be like that, unless mmekubaliana mapema, nakupa unanipa, ila kama ulimuomba akasema anakupa then ukifika anataka sex it means anataka ku take advantage of you.na shida zako.huyo mwanaume muogope sana... mshenzi ndio itakuwa tabia yake hio..kimbia...runnnnnnnnnnnnnn
 
Najisikia raha sana nikiona mwanamke analalamika hivi

Anyway hatupo serious siku hizi maaana nyie mnaona sisi kitega uchumi chenu

Wanamke wengi wa sasa hawawezi kuanza from zero na mwanaume

Wazee tumeelewana missed call mwisho 3
Wakiomba hela waijie geto

Akili mtu wangu [emoji848]
Tuko pamoja mkuu..nikiona yamepigwa tukio iv kwangu ni burudan...wamejikuta wanajihesabia haki sanaa kwamba kila wanachoomba lazima wapewe
 
Niache, bora angeniuliza mweingine... 😡
Kiukweli nilitamani kuona jibu la hilo swali basi acha niliulize mimi.

Mfano nipo horny nikakuambia naomba tusex utanikubalia bure bila masharti au compensation yeyote?
 
Mlianza sisi tunamaliza, nyie mkiombwa penzi ooh, sijuj aina nauli, nywele sijasuka(najiuliza kwwani natomber nywele mimi) [emoji23]
Sasa na sisi tumeamua twende hivyo.

Ofcoz siku hizi ni mwendo wa nipe nikupe labda kwa wachache ambao mnaenda sawa, kuna watu wapo kwenye mahusiano wanasaidiana ukikwama anakusaidia, huyu akisema shida unamsaidia mara moja bila kumuitia maji marefu

Ila wale wadangaji, ni mwendo wa nipe nikupe., ukiona Unaambiwa hivyo maana yake kakuona wewe ni mdangaji.

Huo ndio ukweli wenyewe.
 
Na nimegundua tangu juzi Jumanne kila nikiandika sms ya 'Sina hela/ pesa' hiyo sms haifiki. Mwanzo nikahisi ananizingua nikamtumia mshkaji wangu nikaona kimya nikamuuliza hujaona sms anajibu hajaona.

Nikaandika 'Ningekutumia pesa ila sina pesa' nikamtumia baba na mama na nilivyofuatilia nikagundua hawajaipata.

Nikajitumia kwenye kiswaswadu haijafika mpaka leo ila sms zingine zinatoka. Ndugu zangu nisaidieni.
 
Tafuta pesa zako dada, tafuta pesa huone ni jinsi gani ni Raha kuzila bila kupangiwa... Pesa ya mtu anayeitwa mwanaume ni lazima akitoa ilipwe tu, akikusaidia basi ujue ana expect something from you. Wachache Sana ndiyo husaidia mwanamke bila kutegemea kitu, lkn wanaume wengi akikusaidia ujue jiandae kutoa mbususu, atakusumbua tuu... Mwanaume ambaye ukimuomba hawez tegemea kitu Toka kwako ni baba, kaka.na ndugu wengine. Lkn siyo asiye ndugu yako Tena awe anaisaka Kwa jasho haswaaa[emoji16] utaisoma namba.
Bora ulivyomwambia ukweli mwanamke mwenzako naongezea pia kama huna utaratibu wa kuomba omba pesa kwa mwanaume ukipata shida serious na ukamuomba mwanaume anauwezo wakukusaidia bila hata kukuomba mbususu hao wanadada wengine sometimes hawezi kusaidia bila kuombwa mbususu unakuta teyari wanatabia ya kuomba omba ndio maana wanakutana na hicho kitu.Asikumbie kitu sisi Wanaume tuna huruma sana by nature binafsi mimi mbona kuna dada nilimsaidia nauli yake yakuenda kukata ticket ya kwenda Mwanza watu walimuibia nilimsaidia bila hata kuchukua namba yake simu ukiacha hivyo nina rafiki wa kike akiwa na shida na mimi nikiwa na uwezo wakumsaidia huwa nina msaidia kwasababu pia na yeye huwa na yeye ananisaidia sio pesa wala sex ila baadhi ya vitu fulani shida unakuta wewe sio muungwana wakusaidia watu sio lazima iwe pesa au sex alafu Ukiwa na shida unataka usaidiwe kwa hili kwanini Wanaume wasiombe return in sex?
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Rosemary 255 iko hivi pesa ya awali ni huwa unapewa bila kikwazo chochote shida inaanza hali hii ikiwa inajirudia rudia halafu na wewe mzigo hautoi kwa wakati sahihi na ukija kutoa ndio hapo hapo unapiga na vizinga.

Njia nzuri ni hiyo njoo ufate magetoni tuu hakuna namna..... nikuwezeshe nami uniwezeshe...
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Hutaki kugegedwa usiombe ombe pesa
 
Back
Top Bottom