Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Rosemary 255 nina 150k hapa haina kazi, kama vp njoo mageton kwangu uchukue yote, me sitakufanya kitu.
 
Kumsaidia mwanamke bila yeye kukupa penzi ni hasara sana coz wao huwa hawasaidii ukipata shida, hata ndogo tu isiyohitaji pesa huwa ni wagumu kujitoa.

Na wengi wao unapomsaidia pesa basi anadhani unamkubali hivyo huwezi kumchomolea.
Ndio maana tunajiweka seh salama ya kudai mbususu kwanza.
 
Aisee!
 
Mleta uzi bila shaka huu ni zaidi ya mwongozo umewapa Me sababu karibia wote wana wakkka mbaya. 😂😂
Ungemuuliza nae swali hili na yeye akiombwa na mwanaume mwenye uhitaji wa mbususu ( kabanwa na nyege) je anaweza kumsaidia bure bila masharti yoyote
 
Kwa heshima kabisa namshukuru Azizi Mussa kwa post yake hii kwenye uzi Mapenzi ya siku hizi ni ya Nipe Nikupe! post namba 2... nimeikopi na kupesti hapa chini...

Kwa hiyo mapenzi ya kweli ni wanawake kupewa hela huku wao hawatoi thamani yoyote? Kwa maoni yangu, ili uhusiano uwe na maana, ni lazima kila upande uwe unatoa thamani fulani kwa upande mwingine, kwa hiyo kama wewe una uhusiano na mtu na hutoi thamani yoyote bali unadai tu, wewe ni famba na haki yako ni kupigwa matukio.
Mkuu, mimi nimepata uzoefu mkubwa sana kwenye mambo haya. Ukiwa na uhusiano na mtu yoyote ila wewe unatoa tu yeye hatoi thamani yoyote, yeye anadai tu ila hachangiii chochote wala hajali ( hata vilivyo ndani ya uwezo yake) mtu huyo deal naye kihuni. Be too fair to unfair people is unfair.
 
Wanawake ni wajinga sana mkuu, yani wanaona wanastahili kupewa tu, utadhani wao hua wanawasaidia wanaume masikini huko mitaani kwao.

Wanawake ni mashetani na mabinafsi sana. Kama hili litoa mada hapo utakuta limetoka kudai pesa kwa mwanaume utadhani ni pesa yake.
Mtoa mada anathibitisha ule uzi wako ukweli unakawaida ya kuchelewa lakini siku zote unashinda uongo sijui Rebeca 83 alikuwa anapinga kitu gani wanawake wanamuumbua
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Unakata kupika chakula unanipigia simu kuomba elf 30 ukale chips this is pathetic
Lzm uje nyumbani nikuchakate ndio upate hella

Mtu unakah get kwako hata chai ujawai kupika kila kitu unataenda kununua
 
Wew huna wazazi mpaka uanze kuomba wanaume pesa ambao hawajakuoa?

Ukianza kuomba hela mwanaume kwanza akilini anaona huna tofauti na Malaya...

Mwanaume akikupenda atakupa hela mwenyew...

Sema nini tutunze watoto wetu wa kike..tabia za kuomba wanaume hela ni sababu ya umaskini uliopo kwenye familia nyingi
Una point nzur sana
 
Kwani Huyo Mwanaume yeye kafanyaje akaipata hiyo Elfu 30 wewe ukashindwa kufanya Hicho kitu na wewe ukaipata hiyo elfu 30? Kujiepusha na Kulaumu watu humu

Je ulishamuomba Mwanamke Mwenzako hiyo elfu 30 akakujibuje.

Pesa hutafutwa ndugu haziombwi. Ukiomba Kubaliana na Masharti ya Uliyemuomba. Hata Nchi Yetu inaomba na Inapewa Masharti kibao na Inawezekana ingekuwa mwanamke basi Ingekuwa Malaya

Kuwa na Chako uone kama utalaumu Wanaume
Aisee leo mnnawapa ukweli Hawa viumbe
 
Mimi mwanamke ambae ninaweza kumpa ela bila kumgonga ni yule ambae nikishikwa na genye zangu hua ananipa bila masharti na bila kinyongo.. Yani simu moja tu kashafika getto (tena kwa nauli yake) tunafurahi kisha anasepa (kwa nauli yake pia). Huyu hata usiku wa manane akinipigia ana shida ya laki namtumia. Kwa bahati mbaya wanawake wa dizaini hii tangu nibalehe nimewapata watatu tu (nimewamiss sana Sarah, Anna na Amina [emoji10]).

Siku hizi nawapata hawa ambao ukimchana njoo getto analeta longo longo za nitumie nauli, nywele zangu zimefumuka siwezi kutoka (hapo kama nimebanwa sana na genye natuma tu nauli na pesa ya kusukia) akija getto anachezea mpini-nyama tena nahakikisha namwaga mpaka ubongo [emoji39] akisepa tumemalizana. Sasa mwanamke wa dizaini hiyo hata siku akitaitiwa na shida zake anataka nimpe ela, siwezi mtumia, ni lazima nasisitiza LAZIMA aifate getto...
 
Back
Top Bottom