Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
toa mzigo upate mzigo....

hata zama za wahenga kuna msemo "nipe nikupe"

Maana tukiwasaidia bila kuwagema mnatamba eti mmetuchuna - ila nafikiri dudu likizama ni kimyaaa mtaani panakuwa shwaari.
 
Sijui hao wanaume mnawapata wapi wa aina hiyo? Mbona mimi nasaidiana sana wanawake wengi bila ya wazo la ngono.

Japo wanawake wengi wanazingua sana na hawana shukurani lakini binafsi akinijia mwanamke yoyote kwa kuniomba msaada wowote huwa nasaidia bila kutarajia chochote ilimradi tu kwa wakati huo hali inaruhusu kufanya hivyo, ila bahati mbaya ndio hawana shukurani aisee ukimwambia kwa leo sina ndio unazaliwa uadui. Pengine ndio maana wanaume wengine hufanya kama mleta mada alivyo sema lakini sio wote tupo hivyo
Ni wabinafsi sana, yaani wanaona wao ndo wana haki ya kusaidiwa ila sisi wanaume hatuna haki, kuna demu nilikuwa nae kwa mwezi kumpa 300k ilikuwa ni kitu cha kawaida ila siku akiniomba 10k nikimwambia sa hv sina ananikasirikia, nikamuona mpuuzi tu, tena haamini kama sina ana uhakika mimi muda wote nakuwa na hela
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
We kijana shida adabu yako, umekosa kabisa majina yote ya kuyatolea mfano, ukaona jina la John ndio linafaaa hapo.

Hii tabia iwe mwanzo na mwisho, isijirudie tena kamwe.
 
Ni wabinafsi sana, yaani wanaona wao ndo wana haki ya kusaidiwa ila sisi wanaume hatuna haki, kuna demu nilikuwa nae kwa mwezi kumpa 300k ilikuwa ni kitu cha kawaida ila siku akiniomba 10k nikimwambia sa hv sina ananikasirikia, nikamuona mpuuzi tu, tena haamini kama sina ana uhakika mimi muda wote nakuwa na hela
Unampa 300k kwa kazi gani hasa? Ni mkeo au. Hujui huo ni mshahara wa mtu wa mwezi
 
Hata Ivo ni biashara mwaya,mioyo ya upendo kushney sikuhiz
Kuomba wala sio tatizo ila tatizo liko hapa kama ulikuwa ni muombaji alafu ukamuomba mwanaume ukiwa unatatizo serious mwanaume lazima akushushe thamani na wala usihesabie huo ni upendo ataona nitabia yako ya upigaji vizinga lakini kama ulikuwa sio muombaji ikatokea ukawa una shida serious hiyo hamna shida hata mwanaume anaweza akakupa bure hata bila masharti na atachulia tatizo lako kiuzito sasa mtoa mada yupo kwenye kundi lipi nilizongumzia
Nashengena
Rosemary 255
Championship
Krait
Rebeca 83
mzabzab
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Yani wewe unaona "unastahili" pesa toka koka kwa mwanaume sio kaka wala ndugu yako, NA UNAONA NI HAKI YAKO KUPEWA PESA BUREE, qmmae we ni bwege sana. Wewe ulishawahi kuwapa wanaume wangapi pesa wenye shida ?! Stupid prostitute.

Nikushauri kitu kupata hizo hela za wanaume, nenda uwanja wa fisi kajiuze idiot, hiyo pesa unayotaka upewe na wanaume SIO YAKO na hawakupewa. Malaya Jinga.
 
Yaani nyie mnadhani ndo mna haki ya kuomba tu huwa mnazitunzia kwetu sio!

Na sisi tuna shida zetu tena kubwa tu.

Kwa nini uniombe mimi hauna ndugu zako uwaombe?

Basi omba wanawake wenzako!

Nyie mbona tukiwatongoza hapo hapo nywele zimefuka, njaa inauma, kikundi, kodi inaisha, mama anaumwa, khaaaa! Jamani yote hayo tuyafanye bila kupata pa kujipoza!!
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Ukitaka kula na wewe sharti uliwe mama. Hakuna hela za bure siku hizi.

Unamuomba John hela kila mara, kwani wewe huna shughuli ya kukuingizia kipato? Jitahidi kupunguza utegemezi na mizinga isiyo na ulazima.
 
Yaani nyie mnadhani ndo mna haki ya kuomba tu huwa mnazitunzia kwetu sio!

Na sisi tuna shida zetu tena kubwa tu.

Kwa nini uniombe mimi hauna ndugu zako uwaombe?

Basi omba wanawake wenzako!

Nyie mbona tukiwatongoza hapo hapo nywele zimefuka, njaa inauma, kikundi, kodi inaisha, mama anaumwa, khaaaa! Jamani yote hayo tuyafanye bila kupata pa kujipoza!!
Wanawake ni wajinga sana mkuu, yani wanaona wanastahili kupewa tu, utadhani wao hua wanawasaidia wanaume masikini huko mitaani kwao.

Wanawake ni mashetani na mabinafsi sana. Kama hili litoa mada hapo utakuta limetoka kudai pesa kwa mwanaume utadhani ni pesa yake.
 
Najisikia raha sana nikiona mwanamke analalamika hivi

Anyway hatupo serious siku hizi maaana nyie mnaona sisi kitega uchumi chenu

Wanamke wengi wa sasa hawawezi kuanza from zero na mwanaume

Wazee tumeelewana missed call mwisho 3
Wakiomba hela waijie geto

Akili mtu wangu [emoji848]
 
Back
Top Bottom