Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Usipopewa-roho mbaya.
Ukipewa ukadaiwa - msumbufu na vikauli vya hela yenyewe ndogo tu.
Ukipewa utoe penzi - biashara. 😂😂😂😂.

Kwanini utegemee kitu cha bure?
 
Umejibu vyema mkuu, niongezee tu hapo kuwa huyo mwanamke ana mahusiano gani na huyo mwanaume, kuna uhusiano wa kirafiki au ushkaji tu, na uhusiano wa mapenzi, sasa kumuomba mwanaume ambaye ni rafiki wa kawaida haina shida, lakini kama ni mpenzi hilo ni tatizo kubwa na linawakatisha wanaume wengu tamaa, ukweli ni kwamba wanaume wengi wanachukia tabia ya kuombwa ombwa hela na wanawake, inabore, kingine pia inategemea huyo anayeombwa hela urafiki/ uhusiano wenu una muda gani, sa unakuta mtu mmefahamiana tu wiki moja unaanza kumuomba hela, lazima ashtuke, maoni yangu hapa ni kwamba wanawake tuache hii tabia ya kuomba omba hela wanaume, tujitaidi kutafuta za kwetu, lakuni tatizo lingine tusiwe na matarajio sana ya kupata pesa kwa mwanaume unapomuomba, naye pia wakati mwingine anakosa, so kwa hili tujerekebishe, lakini kwa upande wa kiumeni, kama hauwezi kumsaidia mtu ni bora uache but sio kumsaidia kwa conditions, unless labda kama kalazimisha mwenyewe, ni bora umwambie sina kuliko umpe hela umuharibie utu na thamani yake.
Hizi mwanamke kutombwer ni kuharibiwa utu na thamani yake?
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?

Usichanganye mapenzi na ngono
Bila shaka wewe unamaanisha wanaume wanajali ngono kuliko utu.

Lakini kila shilingi ina kichwa na mwenge, wanawake wengi saiv ukimtongoza kwa mapenzi tu utasubiri sana lazima umwage mtama kuku asogee ndo umlie timing, imekuwa mchezo flan wa kuviziana

Wanawake imekuwa business kabisa, unaweza kumkopesha mwanamke pesa ukidai unaweza kupewa mzigo ukaacha kudai.

Mambo yameharibika sana, binadamu tumekuwa wa hovyo sana, tubadilike
 
Mnavyokuwa wakali, kwa nini mwanaume anakubali kumpa hela mwanzo, akifika mpaka msex...kama hamjaelewa topic ya mtoa mada...

Mla huliwa
Huwezi kutaka kula bila kuliwa
Hii formula ndo wanawake huitumia pia
Anakwambia kama unanitaka hudumia, misemo yenu “wivu uendane na matunzo” sasa utunzwe wewe una ulemavu gani? Wewe ni yatima??

Kubalansi mzani lazima uliwe kwa sababu hata kwenye mahusiano mwanamke hana cha kuchangia zaidi ya ngono
 
mkuu umeandika kwa ghadabu sanaa ila ni ukweli mchungu huyu binti kuleta hii mada si bure mada imekaa KITANGAZO TANGAZO hii.. anatafuta customers
Waafrika Wengi tumevurugwa sana hasa kwenye utafutaji wa Pesa. Hebu Date na Mwanamke Ambaye Kwao pesa si shida sana utaona Utofauti mkubwa sana na Wanawake wengine.

Wanawake wengi background zao zinawadai Marejesho na Unakuta Ameajiriwa sehemu mshahara ni Mdogo ,inabidi aingie kwenye Udangaji wa lazima ili atengeneze Mazingira mazuri kwao na Ndugu zake. Mwisho wa Siku wanaingia kwenye Mahusiano bila Mapenzi yeyote yale. Unakuta Mtu Mama yake Huko Anamuomba Elfu 30 anaona Hapa sina Pa Kuipata ngoja Nikadange
 
Wanaume wa JF nini shida linapokuja suala la mwanamke kuomba pesa? Nimesoma comments chache zimeandikwa kwa hasira nyingi.
Tafuteni pesa kaka zangu ni kawaida mwanaume kuombwa pesa na sio lazima kutoa vilevile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wanaume wa humu ni wachoyooo, walivyotapika nyongo sasa!![emoji119][emoji119][emoji119]
Na hatuachi.
 
Ushauri wangu ni mzuri Sana niliokupatia ufanyie kazi utakuja kunishukuru kwasababu sisi Wanaume tunajuana Wanaume wasasa wanataka win win situation
Mie naishi kwenye reality sio kichwani mwako ndugu
 
Back
Top Bottom