Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Damn,umenikumbusha kuna siku nipo kwenye mwendokasi kuna jamaa alikuwa anashikilia makalio ya mdada nkajua demu wake kumbe sio bhana aibu nkawa naona mimi, ule ni udhalilishaji ila wale madem walipotezea tu.
Kuna siku nilikua natembea kariakoo, nipo zangu hima hima natafuta kitu, khe saa ngapi mtu hajanidaka mkono eti "white nimekupenda sana" alooo alikula makonde ya uso hajakaa sawa nikamsindikiza na teke kali la kende, wenzie wakaanza kushangilia,
Mtu hawezi kunigusa bila ridhaa yangu hata siku moja.
 
Haha eti nakubwenga 😂

Dr. We ni mzanzibar au wa mtwara?

Ndani ya mada: Wanawake/wamama tunakosea katika malezi ya watoto wa kiume, Familia na jamii haijawaji kum-reward mtoto wa kiume kwa tabia njema, ila akifanya malice ndio utasikia huu ndio uanaume.

Sitegemei matokeo tofauti ya yale yote yaliyofanyika katika makuzi.

NB: katika kundi hili kuna watu wamejielea wenyewe, wamejilea mtaani.

Btw, kuitwa feminist katika dunia ya sasa ni kitu bora zaidi kuliko kuwa pickmisha (internalize misogynists)
Nimetumia kizaramo hapo, enzi hizo watoto ndio tulikua tunasema kukubwenga,😆😆

Umeelezea kitu kikubwa sana, malezi malezi malezi, kuna jamii haimfunzi mtoto wa kiume kuheshimu mtoto wa kike na inaanzia kwa dada zake anakua nayo hadi huku nje
 
Tatizo mavazi mnayovaa, yamekaa kimitego na kuathiri asili ya mwanaume. Suluhisho ni kuboresha kwenye uvaaji wa mavazi, ndio maana nchi za kiarabu, wanawake wanahimizwa kuvaa yale magauni myeusi.
Mwili wa mwanamke una nini cha ajabu hadi useme inaathiri asili ya mwanaume, hilo ni tatizo lako la akili lakini miili haina tatizo
 
Nje ya mada,umenikumbusha movie ya Notting hill,Julia Robert anamuuliza William,

"What is it about men and nudity? Particularly breasts? How can you be so interested in them?

I mean, seriously they're just breasts, every second person in the world has them.they're odd looking, they're for milk,you've seen a thousand of them. What's all the fuss about??

Kwenye mada,is ubakaji ugonjwa wa akili au uhalifu??
Alichohoji Julia ndio haswaa lengo la mada yangu, mtu amekua anayaona manyonyo, matako, anajua kuna uke lakini kwanini azuzuke ukubwani hadi kufikia hatua ya kubaka au kudhalilisha,
Jamii ya kiume inapaswa kutambua miili yote ni sawa na kuna mipaka yake
 
Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu
Sasa jamani kwani mmezuiwa kutubaka?

Sisi tulishawapa ruksa kutubaka hata tukivaa kanzu haina shida kabisa tena mje wengi wengi.

Ni serikali tu ndo huwa ina kiherehere cha kuingilia mambo yasiyoihusu!
 
Back
Top Bottom