Nakuelewa maana ya hili ombi lako. Mwamba ngoma huvutia kwake. Ili uwakongoli wenzako kwa raha yako kwa vile hakutakuwa na madushe ya kuwakongoli.....
Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Kumbe bongo hii kuna jamii iliyostaarabika🤣Ni upuuzi kutamani kitu ambacho sio halali yako, ukimtamani mkeo ni sawa ila kumtamani mdada kisa kavaa min sketi mapaja yapo wazi ukamrukia na kumbaka wewe unafaa uozee jela hufai kuishi kwenye jamii ya wastaarabu
Sasa huyu nae makovu katoa wap yote io utazan alikua anachomwa na mishumaa
Kujibu swali lako ulipouliza "sijawahi kusikia mwanaume kubakwa na mwanamke"I wonder kama wanawake mngekuwa na maumbile ya kiume, ndio tuseme dunia ingekuwa salama zaidi?
▪ Anyway sitetei ubakaji.
Najaribu kufikiria kama mtu mwenye maumbile ya tofauti anaweza kuwaza nje ya box, akajiweka kwenye position ya hao anaowaponda.
Sio unawaponda hao kwa kujifikiria wewe kwenye nafasi uliyopo, that's easy; kwasababu naamini kama nyege wote tunazo kwa kiwango sawa tu...
Sasa tofauti yetu inakuja wapi?!
Binafsi sijawahi kusikia mwanaune kabakwa na mwanamke, why.. sababu ya kimaumbile.
Ww sio muislam sio. Unawaza kubakwa wakati wenzio wana halalisha kula ndogo wake zao kwa mgongo wa dini. Na wake zao hawalend lkn mtume anata hivyo ilo unasemaje??Mwili wa mwanamke una nini cha ajabu hadi useme inaathiri asili ya mwanaume, hilo ni tatizo lako la akili lakini miili haina tatizo
Kufikiria ubakaji in bigger picture:Watoto wadogo wanakuwa wamekula vya nani?
Nataka ufikirie ubakaji ina bigger picture.
Let's assume nguo fupi zinachochea matendo ya ubakaji,je wanaobakwa wamevaa sale za shule?jeans?baibui??...Kwanini uvae nguo fupi, kwa ajili ya nini? Kwanini uvae nguo inayoonyesha wazi viungo vya mwili wako, shida inakuwa nini?
Wewe ni mmoja wa hao wabakaji niliowalezea, badilika jela ipo kwa wapuuzi kama nyieWw sio muislam sio. Unawaza kubakwa wakati wenzio wana halalisha kula ndogo wake zao kwa mgongo wa dini. Na wake zao hawalend lkn mtume anata hivyo ilo unasemaje??
Kuna tatizo gani mtu kuvaa anavyojisikia yeye kuvaa? yaani yeye akivaa sketi fupi wewe unapungukiwa na nini kama sio tatizo la akili ulilonaloKwanini uvae nguo fupi, kwa ajili ya nini? Kwanini uvae nguo inayoonyesha wazi viungo vya mwili wako, shida inakuwa nini?
Hujui maana ya ubakajiKufikiria ubakaji in bigger picture:
1) Wanawake wengi walio kwenye mahusiano wanabakwa, kiuhalisia mioyoni mwao hawataki ku sex na waume/boyfriends wao ila tu ni maisha magumu ya kiuchumi yamewafanya waingie kwenye hayo mahusiano
2) wadada wanaojiuza barabarani pia wanabakwa, kwasababu hawataki kufanya sex na majority ya wateja wao
binti kiziwi
Nimekuuliza tu. Ulitakiwa kujibu nchi za kiarabu UAE zote mashekh na viongozi wa dini wanasema hadharani hayo mambo. Unawaambia nini??Wewe ni mmoja wa hao wabakaji niliowalezea, badilika jela ipo kwa wapuuzi kama nyie
Napenda sana watu wenye akili na wasiochangia mada kwa mihemko,Let's assume nguo fupi zinachochea matendo ya ubakaji,je wanaobakwa wamevaa sale za shule?jeans?baibui??...
Huwezi kuvaa unavyojisikia wewe, vaa unavyojisikia ila jisitiri mwili wakoKuna tatizo gani mtu kuvaa anavyojisikia yeye kuvaa? yaani yeye akivaa sketi fupi wewe unapungukiwa na nini kama sio tatizo la akili ulilonalo
Wewe ni mpuuzi, nakupuuza🚮Nimekuuliza tu. Ulitakiwa kujibu nchi za kiarabu UAE zote mashekh na viongozi wa dini wanasema hadharani hayo mambo. Unawaambia nini??
Akivaa nguo fupi hajastiri mwili wake? amstirie nani au anamuogopa nani na kwanini hadi avae migauni bululu bululu? Tena kwa taarifa yako hao wabakaji wanaongoza kwenye maeneo ya wanawake wanaovaa migauni na misketi mirefuHuwezi kuvaa unavyojisikia wewe, vaa unavyojisikia ila jisitiri mwili wako
Haha sijui, technically….Ila mimi sio mshabiki wa hii, tukichukulia practicability yake… Itatumika vibaya, kumbuka hata sisi tunaolindwa na sheria tunaweza tumia sheria hiyo kwa ubaya, tumeona mara nyingi wasanii huko majuu wameumizwa sana na hii aspect ya “ubakaji”Kufikiria ubakaji in bigger picture:
1) Wanawake wengi walio kwenye mahusiano wanabakwa, kiuhalisia mioyoni mwao hawataki ku sex na waume/boyfriends wao ila tu ni maisha magumu ya kiuchumi yamewafanya waingie kwenye hayo mahusiano
Sex yoyote yenye consent, na anayeconsent akiwa kwenye age ya consent sio ubakaji. Hivyo hii ya pili sidhani….2) wadada wanaojiuza barabarani pia wanabakwa, kwasababu hawataki kufanya sex na majority ya wateja wao
binti kiziwi
We ndo hujui maana ya ubakaji, au unaijua maana ila unaificha ili uhalalishe u-golddiggerHujui maana ya ubakaji