WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Babu Dark City, itabidi tuweke kikao mimi wewe, Asprin, na Kaizer ili Asprin aseme ananitafutia nini mie Karucee. Lol.Nawapenda woteee.
BAK, thank you for your inspiration and Merry Merry Xmas to you. Happy New Year.
The Boss, sheriFF ARPAIO thanks for your friendship.
snowhite, U r a darling. gfsonwin, thank you for being the one I run to when motherhood drives me crazy The secretary, thank you. sun wu, Another year...thank you.
Kaunga, King'asti, Kongosho, sakapal, SUZANE, Howt Lady,thank you.
SnowBall, miss you bro, Mentor, fanya uoe KOKUTONA, you are a blessing. Invisible, thank you DonLuchesse, hope we puff next year.
gobore, if only.....damn.
Nyani Ngabu........ if I were a boy, I would be you. Just like you. Very bad.haha.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana dear yaani umekua moyoni mwangu since then . Huwa sikumbuki jina lkn hii sura ya avator yako daima ipo kichwani kwangu. Nashukuru sana mpenzi kama unaendelea vizuri nimefurahi sana sina namna ya kuandika vizuri ili ujue ni kwa kiasi gani nimefurahi . Bado nitaendelea kukukumbuka kwenye sala zangu . Pamoja sanaaa

Sikuona uzi wa Sangarara ila nimeguswa sana na story yake...

Jambo la kushukuru ni kwamba Mungu ni mwema sana!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana lkn mimi mbona hujanimensheni jamani eeh........... , Just kidding .Nakutakia na wewe sherehe njema za mwisho wa mwaka . Pamoja sanaaaaa
:smile-big::smile-big::smile-big:
6548072581_4a6644b815_z.jpg
 
ha haaa, sitamrudisha soon shem, tunaendelea kuwasoma, but really jirekebisheni. Kuna ambaye anataka kuzika ukoo mzima sababu ya penzi mlilokubaliana wenyewe? kwa hiari yenu? maumivu ya mapenzi yapo kwa kila kabila siyo wachaga pekee, why you? hamjiulizi tu jamani?

Ziara yetu ya nyumbani mwaka huu itakuwa ya kujiuliza kuhusu yliyokiri mwaka huu
 
[/INDENT][/LEFT]
[/RIGHT]
[/SIZE][/FONT]
Aminia mzee wa Emirates.....

Ubarikiwe sana chifu katika mwaka 2014.....

Ila nasikia jana, mmetoka kuwa 'title contenders to title pretenders'

Kumbe na wewe mkuu ni mkazi wa mitaa ya wabeba mitutu??

Pole sana kwa hiyo mvua ya ajabu....

Hata mimi naamini mtafufuka na kuendeleza mapambano....

Mzima lakini??.....bado nakusubiri ujue...lol!!

Wakuu zangu tunauaga mwaka huu huku tumejawa na waswali mengi zaidi ya majibu. Wanazuoni husema - kila siku ni afueni ya jana! na maadam tumaini bado lipo tutafika tu.
Nawatakia kila la kheri wana JF na zidumu fikra zenu ktk ukombozi wa mlalahoi.
- Amandla!

Mzee Mkandara wa 2006....

Ni heshima kubwa sana kukuona hapa na kupata hekima zako....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sikuona uzi wa Sangarara ila nimeguswa sana na story yake...

Jambo la kushukuru ni kwamba Mungu ni mwema sana!!

Babu DC!!
Ni siku nyingi kidogo kwa bahati mbaya sikumbuki taito yake. Hata hivyo wema wa Mungu ni mkubwa naona anaendelea vizuri tumshukuru Mungu kwa hilo.
 
Word? I'm honored and flattered to know that.

But hey, If I didn't have little miss Piggy I'd have declared you my only legatee.

Karibu sana jukwaani mkuu NN.....

Hapa najaribu kufanya maamuzi magumu ili niamue ama kutafuta kakamusi ya mtaalamu kama yule wa kwa Madiba....

Honestly, wewe ni mtu wa pekee kwangu. Nimejifunza mengi sana kutoka kwako.

Siku nikipata nauli, nitakuja kukusimulia...

Babu DC!!
 
hivi waspanish wanatumia bastola? au wao hawatendwi? wameingia kwenye game siyo yao....
itabidi tuwaombe kaka zetu wawape semina shem zetu...
cc. Nicas Mtei..... mkitoka huko kwa kikao chenu nawaandalia semina ya kukabiliana na vibuti, hata kama uliinvest mabilioni....
ha haaa, nakumbuka kuna kakangu alioa mchaga. akampeleka chuo, kule mdada akapata kaBF. kaka alimfumania live, akamwambia vaa, akampandisha kwenye gari lake, break ya kwanza ilikuwa migombani kwa wazazi wa binti kuwaambia nimekuja kukabidhi laana yenu hii, itawasimulia kilichotokea. sitaki mrudishe mahari wala hela zoote nilizotumia kumsomesha na mambo mengine........ sasa hivi kaka ana mke mwingine, bombaaa, maisha yanasonga mbele. chezeya wangoni weye,..... mwanaume kujiamini

Hahahaha hilo ndo la maana.. Halafu wale waliokulia mazingira ya kubanwa sana ndo huwa wanapanic pale wanapoluwa wametoswa
 
Last edited by a moderator:
Hata sijui mimi na wewe tunaanzia wapi aisee.....

Bahati nzuri tunaye judge Mtambuzi) ambaye kila upande una imani naye....Labda aamue kuniuza kama Yuda Iskariote!!

Mzima lakini?

Babu DC!!

nlikuwa nakusubiri babu.........mie mzima ingawa shughuli za kufunga mwaka zilinibanabana kidogo lakini nashukuru Mungu zimekamilika sasa!!!
Mtambuzi huyuhuyu ndo awe muamuzi?!?!?! hapana, sina imani naye, ugonjwa wake naujua!

babu unajua tumepata baby gelo? ndoa imejibu faster mno!!! Mungu ashukuriwe nyumba inajaa!!!

salam kwa bibi - naja mtembelea hivi karibuni nna safari ya huko!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana jukwaani mkuu NN.....

Hapa najaribu kufanya maamuzi magumu ili niamue ama kutafuta kakamusi ya mtaalamu kama yule wa kwa Madiba....

Honestly, wewe ni mtu wa pekee kwangu. Nimejifunza mengi sana kutoka kwako.

Siku nikipata nauli, nitakuja kukusimulia...

Babu DC!!

Dah! Shukrani sana mkuu na season's greetings kwako, familia yako, na vingine vyote vilivyo vyako.
 
najua una wajukuu kibao ila vitukuu hawajaji introduce mi sina hadhi ya ujukuu mi kitukuu next year nikitia maguu tu lazima kitukuu nikutafute hawa watu wote kukupenda sio bure wanasema fata nyuki ule asali na panapo fuka moshi chungu hakikosekani ubarikiwe babu ishi maisha marefu ikibidi umpite mandela ilaaaa mhhhhh mandela aaah rip babu mkubwa

Karibu sana mkuu,

wewe ni pacha wa babu kwa sababu ya kupitia kiwanda kile kile...

hebu soma mwenyewe hapo chini,

Retired Maj Gen DC (1947)...dc@jamiiforums.com

Babu DC!!
 
nlikuwa nakusubiri babu.........mie mzima ingawa shughuli za kufunga mwaka zilinibanabana kidogo lakini nashukuru Mungu zimekamilika sasa!!!
Mtambuzi huyuhuyu ndo awe muamuzi?!?!?! hapana, sina imani naye, ugonjwa wake naujua!

babu unajua tumepata baby gelo? ndoa imejibu faster mno!!! Mungu ashukuriwe nyumba inajaa!!!

salam kwa bibi - naja mtembelea hivi karibuni nna safari ya huko!

Umemaliza kesi.....

Hivi kuna mtu hapendi wajukuu kweli??

Ndiyo maana akina Madiba kule selo walizuiliwa hata kusikia sauti ya watoto....

Ubarikiwe sana Paloma..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer ah we bana umenifanya niwe natumia maakili ya chuo kikuu wakati mi uwezo wangu darasa la pili B tu!ulikuwa unaniuziga kama nini!
Umenifanya nilie wivu kabisaaaaaaa!!!
Mi najuaga mimi tu ndo huwa naukoga moyo wako kumbe tuko weeeeeeeeeengi.....lol!

Nina kesi na wewe kuhusu ule mpango wa kufungua chuo cha kuwafundisha hawa wavulana,mbona michango siioni?
 
Dah! Shukrani sana mkuu na season's greetings kwako, familia yako, na vingine vyote vilivyo vyako.

Kwako wewe sina cha kusema...naamini ipo siku tutakutana tena na kuteta....

Nimejifunza mengi utadhani ndo nilikuwa kwanza nasoma chekechea.....

I wish people knew NN (the one I had a special chance to know, at least)....... (ila usijibu kwa yale mambo yetu kaka, sawa??)!!

Bravo sana kaka,

Babu DC!!
 
Babu, adui mwombee njaa

Pole Nzi, sijui kama mtafufuka tena.

Kumbe na wewe mkuu ni mkazi wa mitaa ya wabeba mitutu??

Pole sana kwa hiyo mvua ya ajabu....

Hata mimi naamini mtafufuka na kuendeleza mapambano....

Mzima lakini??.....bado nakusubiri ujue...lol!!

Mzee Mkandara wa 2006....

Ni heshima kubwa sana kukuona hapa na kupata hekima zako....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City, itabidi tuweke kikao mimi wewe, Asprin, na Kaizer ili Asprin aseme ananitafutia nini mie Karucee. Lol.Nawapenda woteee.
BAK, thank you for your inspiration and Merry Merry Xmas to you. Happy New Year.
The Boss, sheriFF ARPAIO thanks for your friendship.
snowhite, U r a darling. gfsonwin, thank you for being the one I run to when motherhood drives me crazy The secretary, thank you. sun wu, Another year...thank you.
Kaunga, King'asti, Kongosho, sakapal, SUZANE, Howt Lady,thank you.
SnowBall, miss you bro, Mentor, fanya uoe KOKUTONA, you are a blessing. Invisible, thank you DonLuchesse, hope we puff next year.
gobore, if only.....damn.
Nyani Ngabu........ if I were a boy, I would be you. Just like you. Very bad.haha.

Unaijua adhabu ya kumsahau baba paroko?
Shauri yako...lol!
 
Back
Top Bottom