kuna sehemu unakuwaga na libesiiiiii ahahahahhahahah
Kwahiyo huwa unaninyima vie ninavyovitamani ili tu ukisikie kigugumizi changueeeehhh
Sasa nabadilika na utaisoma namba!!!!1!
Sasa vipi kale ka kitu bana?
Ujue huwa nakafikiria sana ujue!
ila Eiyer kusema ukwlei nilikuwaga nakuogopaaaa kha!
ulikuwa unaweka uso wa mbuzi sana na wewe!kha!
siku hizi umekuwa mellowed mpka namiss ulivyokuwa na juso la mbuzi!
ahahahaha we kuna siku ulicheka hadi nikahis kuna mtu kakuibia pasiwedi yako!
Nashukuru mkuu kwa mawaidha na huruma yako.Karibu na kuwa makini pia
Ukitatizwa na jambo niombe ushauri baba paroko nitakushauri na utasalimika!!!!!!
Babu Dark City, itabidi tuweke kikao mimi wewe, Asprin, na Kaizer ili Asprin aseme ananitafutia nini mie Karucee. Lol.Nawapenda woteee.
BAK, thank you for your inspiration and Merry Merry Xmas to you. Happy New Year.
The Boss, sheriFF ARPAIO thanks for your friendship.
snowhite, U r a darling. gfsonwin, thank you for being the one I run to when motherhood drives me crazy The secretary, thank you. sun wu, Another year...thank you.
Kaunga, King'asti, Kongosho, sakapal, SUZANE, Howt Lady,thank you.
SnowBall, miss you bro, Mentor, fanya uoe KOKUTONA, you are a blessing. Invisible, thank you DonLuchesse, hope we puff next year.
gobore, if only.....damn.
Nyani Ngabu........ if I were a boy, I would be you. Just like you. Very bad.haha.
Mbona gia ni nyingi sana na nakuhakikishia huzijui zote na lazima nitafanikiwa tumie mbona namba zote nishazisomaga....sasa sijui wewe utakuja na namba ipi nsoijua?!?!?!`
Kwahiyo lini sasa?kale kakitu kapo bana nakapendezesha......wee kaa chonjo tu!
Nashukuru mkuu kwa mawaidha na huruma yako.
we siku ile si ulintolea cha mbavu wewe!
hapa sa hz unamuona babu unajifanya ufaraguzi!
babu wachana na huyu!
kaka mkubwa ndo anaona himaya yake haiko sawa!
sasa anatembezaje kipondo!
ehehehheehhe ushawahi kuhamisha jogoo kwenye banda dogo anakuja mwingine anahakikishe mlango haupo!ahahahahha walahi siwaelewi!
sasa kama jogoo tu linatangaza utemi namuna hiyo Eiyer anambwela mbwela tu hapa!
ah mi nishaweka mpira kwapani ndo nayeya hivo!
keshakuja na hajakumbuka................
sema unatka nikupe mtoko wa Thikukuu..........
Usijali
Huruma ndio jadi ya baba paroko
Usitie shaka nione popote na wakati wowote kama kuna kitakachokutatiza!
Khaaa!
Wewe yaani umenogewa hadi unataka kusema na yasiyosemeka hapa eeehhhh?
Hebu jifunze kuvumilia ebo?
Nitakuadhibu ujue!!
Ninachokupendeaga wewe nakijua mimi tu
Na sifa kubwa ya mwanaume ni kutokuchekacheka hovyo
Lakini anatakiwa asiwe gangstar sana hadi kwa awapendao
Si unaweza kumuona shweziniga akiwa na uso wa mbuzi lakini akifika kwa mamaa anakuwa mdogo kama nukta!
Ki ukweli nakiri kutoka kapa hapa!
Kwani kuna cha mbavu?
Mi nakijua kile cha pale tu......!!!!!!!
Unahitaji huduma ya haraka sana