WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

babu basi nikuhadisie!
kule kwangu nina majogoo matatu!mawili yameshaanza kuwika!eheheheheh kamoja bado!
sasa mitetea mnne inalalia si nikaona niongeze tetea lingine!
ehehehhehehhee hizo ngumi zinazolika bandani kuna siku ntakuta wamenichomea nyumba
!
sasa Eiyer anabaki kulia lia tu hapa hado ze neeful si ndo nambustisha makusudi!
mimi bana mwakani sitakuwa na ugomvi na mtu hata!
iiila sasa ole wako nisikie dadakubwa na babu wa pande zake umewaalika!
moto ntakaokuwashia!ehehehhehehhe chichemi!
😛lane:
Mjukuu DC

Unaanimalizaga kwa vijimambo vyako.....

Kwani hao jogoo hawana kaka mkubwa ili wamwachie kazi ya kuwaongoza??

Babu DC!!
 
Unaanimalizaga kwa vijimambi vyako.....

Kwani hao jogoo hawana kaka mkubwa ili wamwachie kazi ya kuwaongoza??

Babu DC!!
kaka mkubwa ndo anaona himaya yake haiko sawa!
sasa anatembezaje kipondo!
ehehehheehhe ushawahi kuhamisha jogoo kwenye banda dogo anakuja mwingine anahakikishe mlango haupo!ahahahahha walahi siwaelewi!
sasa kama jogoo tu linatangaza utemi namuna hiyo Eiyer anambwela mbwela tu hapa!
ah mi nishaweka mpira kwapani ndo nayeya hivo!
 
Last edited by a moderator:

Hivi hiyo hadithi ya jogoo imekujaje hapa kwenye kufunga mwaka??
Eiyer, usikae mbali na babu kwani masikio yake yameshalegea nut...

Babu DC!!
 
babu basi nikuhadisie!
kule kwangu nina majogoo matatu!mawili yameshaanza kuwika!eheheheheh kamoja bado!
sasa mitetea mnne inalalia si nikaona niongeze tetea lingine!
ehehehhehehhee hizo ngumi zinazolika bandani kuna siku ntakuta wamenichomea nyumba
!
sasa Eiyer anabaki kulia lia tu hapa hado ze neeful si ndo nambustisha makusudi!
mimi bana mwakani sitakuwa na ugomvi na mtu hata!
iiila sasa ole wako nisikie dadakubwa na babu wa pande zake umewaalika!
moto ntakaokuwashia!ehehehhehehhe chichemi!
😛lane:
Mjukuu DC

What did you say??
 
ila Eiyer kusema ukwlei nilikuwaga nakuogopaaaa kha!
ulikuwa unaweka uso wa mbuzi sana na wewe!kha!
siku hizi umekuwa mellowed mpka namiss ulivyokuwa na juso la mbuzi!
ahahahaha we kuna siku ulicheka hadi nikahis kuna mtu kakuibia pasiwedi yako!
 
Last edited by a moderator:
Hivyo hiyo hadithi ya jogoo umekujaje hapa kwenye kufunga mwaka??
Eiyer, usikae mbali na babu kwani masikio yake yameshalegea nut...

Babu DC!!

Babu mi sikai mbali kwakuwa najua kuwa unapokaa na aliyekula chumvi nyingi kunakuwa na busara kibao na hata yale usiyoyaelewa atakuelewesha kwa hekima tele

Namuangalia tu huyu "barafu mweupe" sijui anataka nini hapa!!
 
napendaga saaaana kigugumizi chako........!!!

Kwahiyo huwa unaninyima vie ninavyovitamani ili tu ukisikie kigugumizi changueeeehhh
Sasa nabadilika na utaisoma namba!!!!1!

Sasa vipi kale ka kitu bana?
Ujue huwa nakafikiria sana ujue!
 
Back
Top Bottom