WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Mkuu Dark City asante sana kwa uzi huu ambao kwa kweli unakumbusha mengi sana
Jf imekuwa kituo cha mafunzo, sehem ya kubadilishana mawazo, sehem ya kujifunza na nimejifunza mengi sana kupitia JF na kukutana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimekutana na wafundishaji na waelimishaji wengi sana AshaDii, Himidini, SnowBall, HorsePower, mwalimu wangu gfsonwin, King'asti, babu Dark City, Mbu) ambao kwa namna nyingine walichangia kunielimisha na kunifundisha mengi sana ya maisha na namna ya kuishi na watu mbalimbali na mafunzo kuhusu maisha ya ndoa kiujumla
Nimekutana na marafiki ambao kwa kweli wamechangia mengi sana katika maisha yangu ya kuwa humu JF kwa mwaka huu 2013 na hao sitawasahau Erickb52 (kaka asante sana), Vin Diesel (mpango wako wa penda penda ufe mwaka ujao utulie) grafani11 (ujue tunashare Heaven on Earth mpaka mwakani) kiwatengu, sosoliso, stevoh, Arushaone, BAK (mkuu pamoja sana ) EMT, The Finest (sijui kapotelea wapi), Mentor (kumbuka ahadi yako mkuu) The Boss, Rutashubanyuma (mkuu asante sana kwa michango yako yenye kila aina ya hekinma na busara, Nicas Mtei (mkuu umepotea sana) Bishanga, binamu zangu wa ukweli ambao mchango wao sitausahau Madame B, Heaven on Earth (mwambie grafani11 mpango wetu wa kuwa wetu sote uko pale pale hata 2014, Mamndenyi, Lily Flower, sweetlady, ladyfurahia, Chocs, amu, snowhite, Preta, Blaki Womani, Kaunga, Paloma, Passion Lady, Evelyn Salt, KOKUTONA (jua mpango wetu wa kwenda rocky sity uko pale pale), na The secretary, charminglady, Lady doctor
Siwezi kuwataja hao bila kumtaja wangu wa pekee na mpendwa wangu Dena Amsi na nampenda sana
Kwa wote waliochangia kwa namna moja au nyingine kuyafanya maisha ndani ya JF yawe mazuri ila pokeeni salam zangu za Xmass na mwaka mpya na tuombeane wote tuuone mwaka kesho kwa amani na furaha
Cc TANMO, DEMBA, Kaizer, KakaJambazi, Filipo, Mungi, Mzee wa Rula, LIVEPOOLfc, PakaJimmy, Ruttashobolwa, IGWE, Tutor B, marejesho, Simplicity

Niwatakie kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuanza mwaka 2014 kwa afya na ulizi wa Mungu na naamini mwakani tukakutana hapa tena katika kuendeleza kila jema miliolitenda kwa mwaka huu.
Asanteni sana
asante Mr Rocky. mungu ni mwema atatulinda
 
Last edited by a moderator:
THE BIG SHOW & Sizinga!!

Wakubwa wa ukweli!
Mawazo yenu na akili zenu,
Ni muhimu sana kwa maendeleo ya kusini.
Men!! Dont dare to stop, lets ur mission and vission be accomplished..
Nimewajua nyie kupitia JF and i will always apriciate u.

Mkumbuke tuko katika wakati mgumu sana,
Mkumbuke kuna mambo yanatakiwa yafanywe kusini.
Msikate tamaa hata kidogo wakuu!
Bonge la UJUMBE huo mkuu...I'm following you always!! Mungu akipenda by end of this week nitakuwa Mtwara...Nilikuwa out of intouch kwa mambo flani ya kimaisha!! Bt Nakusoma sana kiongozi!!
 
Uwiiiiii Nivea mbona hivyooooooo...unataka babu Dark City aamini kabisa nimekunyima namba.

Wewe si nilikwambia twende Tanga ukasema una haraka unamuwahi mume.....lol

Babu,,,,, Nivea ananisingizia..nilimwambia tuje tukusalimie eti akakataa akasema anamuwahi mume.

Hata namba hakuomba..huyoooo akapepea


Ndiyo maana nilikusubiri wewe kwa sababu huo ugomvi uliokuwa unafuata usingeacha hata Mende Nyumbani (mbali ya panya kama alivyowahi kuchimba mkwara mdau mmoja)!

Wewe mweleze tu huyo Nivea asirudie,...sawa?
 
Last edited by a moderator:
Asante sana babu Dark City kwa uzi huu

Binafsi namshukuru sana Mungu kwa kunipa pumzi ya uhai tena buree mpaka muda huu

Naishukuru jeiefu kunikutanisha na marafiki kwenye social media hii

Shukrani zangu zimwendee mume wangu kipenzi Erickb52...i appreciate your love, nakupenda sana kwa kuwa nami through weakness and strength, happiness & sorrow..you are the reason i believe in love..for better for worse i'll love u with every beat of my heart

Salam za msimu huu wa siku kuu ziwafikie madame b ladyfurahia Lady doctor charminglady KOKUTONA Mwanyasi mwallu DEMBA Asprin Kaizer kiwatengu shansarie The secretary Arushaone mimi49 farkhina BAK MziziMkavu daaarh aisee ni wengi

Ziwafikie wooote mliopitia uzi huu

Wishing you happy holiday
ahsante mpenzi na kwako pia.
 
Uwiiiiii Nivea mbona hivyooooooo...unataka babu Dark City aamini kabisa nimekunyima namba.

Wewe si nilikwambia twende Tanga ukasema una haraka unamuwahi mume.....lol

Babu,,,,, Nivea ananisingizia..nilimwambia tuje tukusalimie eti akakataa akasema anamuwahi mume.

Hata namba hakuomba..huyoooo akapepea


Ndiyo maana nilikusubiri wewe kwa sababu huo ugomvi uliokuwa unafuata usingeacha hata Mende Nyumbani (mbali ya panya kama alivyowahi kuchimba mkwara mdau mmoja)!

Wewe mweleze tu huyo Nivea asirudie,...sawa?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa. Sawa.sijui nijisalimisheeee?

Ewaaaaa........... sasa naona umeanza kuwa mtoto mzuri....

Hebu twende PM kwanza tukapange mipango mkakati (Tafazali wanaa wasijue)
 
Asavali... mjichuje wenyewe ifikapo 27th abaki mmoja na wakiwa wawili si mbaya, make 3some itahusika!!!

Nadhani unafuatilia maongezi yangu na Karucee hapo juu.....

Liiiv mii alooon!!!
 
Last edited by a moderator:
kwani hujauona utetei wangu mdogo wangu? na wakiendelea kuzingua tunawarudishia mahari yao..... sisi kwetu hela haina nafasi kabisaaaaaa

Hapo kwenye red ulikusudia kusema nini?
Copy: Asprin Mbe, Mentor Mbe, Nicas Mtei Mbe, Kaizer Mbe..

we sema tu hawana ubavu..... dadako Alpha Newa si umemwona? kaishia kupoteza mdogo wetu na lishem la nguvu kwa hao hao wachaga.....

Well,..................
Copy: Asprin Mbe, Mentor Mbe, Nicas Mtei Mbe, Kaizer Mbe..
 
Last edited by a moderator:
Hiyo changamoto imetukuta wengi mkuu. Hata hivyo umeonesha kuwa kweli wewe ni Babu ambaye hujafikiria kustaafu kama mie....lol!

Hivi bila wewe hili jukwaa lingekuwaje?

Ngoja nisubiri kama kuna mjukuu yeyote wa Adam na Hawa anaweza kubisha!

Babu DC!

Nimejaribu kutafakari nikaona haka kamtihani ni kagumu.

Ikabidi nijipe divishen faiv mwenyewe.

Vinginevyo baadhi ya wajukuu wangenitenga. Na mimi bila wajukuu ni sawa Malaria bila Mbu.
 
Back
Top Bottom