Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Na hili ndilo neno la Mungu.Waliobadilisha maisha yangu hapa JF ni
The Boss, Mnama,BAK, Mahmetkic, Mute na Asprin.
Hawa nawakubali kwa michango yao Mtambuzi, Kiranga, Ashadii na Mwali.
Kwenye vichekesho hawa hunichekesha na hufanya nitabasamu siku nzima Boflo, Excy zamani Excellent na Ndallo.
Ni wengi kwa kutaja nitajaza karatasi kama kumi ila sitoweza kusahau michango ya mapacha wawili ambao ni Snowhite na SnowBall.
Mbarikiwe wote, pamoja sana.
Ever Remaining,
Sakapal.
Kakague kule nimekugongea ka-LIKE ka heshima.
BTW hi ninekubadilishia maisha yako kwa wema au kwa mabaya?
Kama kwa wema, Karibu tena. Kama kwa ubaya, nitajirekebisha naomba unipe nafasi tena.