Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Hahahahaha Kong huachi ushankupe??
Mi ulinipeperushia Malkia wangu humu hivihivi kwa ushankupe wako!
Ila umenikumbusha Mpole alizimika na zile Headphone za studio ya jamaa hahahaha
MTM akaona isiwe tabu bwana na jina akabwaga hahahah
Na ukinijibu vibaya sikwambii siri ya alipo Lizzy
Ndege yupi niliyempeperusha? Huyo atakuwa alikuwa keshajifunga parachuti lake
Mie nikawa kisababu tu
Mwambie Lizzy wifi wake wa ukweli anammiss sana
Asante sana na nasubiri mualiko. Kuhusu sura usijali maana nadhani tunafanana! Lol!
Sare itakuwa dera la zambarau, skintait ya orange, wigi la utajiju, viatu vyekundu
Make up kama ya haloween.
Last edited by a moderator: