Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

love-you-more-love-greetings.gif

Naomba hii iwe avatar yangu??
 
Dear friends, most likely, we will never meet, but you ought to know that your contributions in one or another way changed someone’s life. I have no guts to mention the impact of JF to my life, but I should acknowledge that you guys changed my thinking.

AshaDii, one of few members I admire the most! Yaani posts zako zimejaa viwango.. You always do what you think is right regardless of what people think. I admire your kindness and respect with which you treat people around you. You are a truly classy person—humble and genuine.

We should remember “As we express our gratitude, we must never forget that the highest appreciation is not to utter words, but to live by them” – John F. Kennedy

Thank you JF.. Thank you AshaDii!! Duh! Kwa pamoja saaaana!
 
Afu wewe, ujue umebadili sana maisha yangu kwa kuwa unaniibia kila siku??

Hasa mitaa ya chit chat

Bishanga korokoroni siku hizi, pale Mzaendo pub

Una yako tu yakufanya unichukia, mbona tumetoka mbali sana, leo ndo tukosane kisa theboss wakati sie wote ni wezi Loh, sie twende sawa tu atakayeona ngumu anasepa.
Bishanga yuko bado dodoma anahakiki kura za hapana kwa kuwa aliona nyingi akashangaa kusikia ni moja na moja tu.
 
Hahaha. Ama
bwana nipe pesa
watoto wana njaa
na mimi mke wako
nimechoka kutangatanga
hata majirani
wamechoka kuniona
nao husema fungeni mulango she is comingiiiii (msisitizo tu)

Wewe na Kongosho kumbe nyoote wazee. kha!!
 
Last edited by a moderator:
All of you guys in JF mmechangia katika mabadiliko.Huwa haipiti siku bila kuchungulia hapa...
Especially Mwita Maranya

I'm humbled (source AshaDii) for your appreciation.
Kwakweli sikuwa natambua kwamba ninaweza kuwa na mchango mkubwa katika maisha yako, ubarikiwe sana mamito.

Kusema kweli hapa JF watu ni wengi sana waliochangia mimi kuwa hapa nilipo leo na kuwa hivi nilivyo leo kwa namna moja ama nyingine.
Kwakuwa siwezi kuwataja wote lakini kwakweli niwataje wachache kama Mtambuzi, Zion Daughter, WiseLady, Asprin & Filipo (hawa tumetoka nao mbali sana!!), Preta, PakaJimmy, zumbemkuu, Mungi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, Dena Amsi, Maxence Melo na Dark City.

Lakini pia kuna watu ambao sijawahi kuonana nao lakini nimekuwa nikiwasiliana nao mara kwa mara aidha kwa simu ama kwa PM hapa JF, nao pia wamechangia sana kunifikisha hapa nilipo kwani najifunza vitu vingi toka kwao; Nguruvi3, Mag3, Mkandara, Mchambuzi, Mtumishi Wetu, Mohamedi Mtoi, Thanda, AshaDii, Matola, Molemo, Michelle, carmel na Riwa.

Na mwisho kabisa ningeomba niwatambue marafiki wanaonifanya nilipende jukwaa la MMU na kulitembelea mara kwa mara tofuti na siku za mwanzo; Madame B, Kongosho, Ciello, gfsonwin, Kaizer, Kabakabana, The Finest, The Boss, lara 1, cacico, mwaJ, mdida, nivea, platozoom, snowhite, SnowBall, Boflo, King'asti, MwanajamiiOne na MziziMkavu.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana, kwa kutambua uwepo wangu

Nautambua uwepo wako sana

dah! am very humbled madame...............
but ukweli siwez kuliongelea hili jamvi pas kumtaja Kongosho, King'asti Blaine boss, mwaJ na Mtambuzi napenda sana michango yenu wapendwa ingawa yahitajika sana akili kuweza kung'amua nondo za Kongosho na King'asti manake waweza kukuta jicho ukadhan pua lol! wewe boss yaani unaniachaga hoi kwa vijicoment vyenye harufu ya sintofahamuuuuuuuu nyingiiiiiiiii kuliko kufaham lol! sijuagi huwaga mnawaza nn mnapotoa comment and nataman sana niwaone siku moja.
Mtambuzi wewe stor zako zinatupa akili ya maisha, Blaine u mdogo but you have brain especially ktk social life, mwaJ wewe sijui ni wa tandale ama wa tandika manake lol! kuliko nikutane na mnango mmoja wakwako heri kugongwa na semi trela hahahha!
 
Hao wote uliowataja hata mie nawakubali sana tu. Kweli mie natamani sana kukutana na Kongosho! Ila nimecheka sana kuhusu hizo sehemu (tandale na tandika) ulizo niassociate nazo! Duh, itabidi nikawatembelee jamaa zangu wa tandika!
 
Last edited by a moderator:
Na tunavyokuwia wakali jamani? Basi nashukuru kama unafurahia dawa chungu ili upone. Najua nakupenda sana, nafurahi kujifunza na wewe

Ah Da King'asti dawa zako ndo zimenifikisha hapa aisee yaani nikianzaga kuwaza maroroso tu picha yako inanijia ukiwa na gufimbo gukuuuuuubwa unanikoromea. Sasa mie ni mtu wajameni kusema kweli isingekuwa wewe na wanaMMU wengine mie thamani yangu kama mwanadamu na mwanamke ninayestahili mapenzi ya dhati nisingeijua kamwe. Nimejifunza mengi sana humu kusema ukweli na japo kuwa bado sijaingiamo humo ulingoni lakini sina hali ya unyonge wala papara tena kama ilivyokuwa mwanzo. Ile thread ya nalivua pendo kwangu ilikuwa ni mwanzo wa maisha mapya kabisa ambayo ninyi ndio mlishika majembe, mapanga na mashoka kunichongea barabara.

Ninawashukuru sana wote na MUNGU wangu awabariki ninyi na familia zenu. Amen
 
Last edited by a moderator:
I'm humbled (source AshaDii) for your appreciation.
Kwakweli sikuwa natambua kwamba ninaweza kuwa na mchango mkubwa katika maisha yako, ubarikiwe sana mamito.

Kusema kweli hapa JF watu ni wengi sana waliochangia mimi kuwa hapa nilipo leo na kuwa hivi nilivyo leo kwa namna moja ama nyingine.
Kwakuwa siwezi kuwataja wote lakini kwakweli niwataje wachache kama Mtambuzi, Zion Daughter, WiseLady, Asprin & Filipo (hawa tumetoka nao mbali sana!!), Preta, PakaJimmy, zumbemkuu, Mungi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula na Dark City.

Lakini pia kuna watu ambao sijawahi kuonana nao lakini nimekuwa nikiwasiliana nao mara kwa mara aidha kwa simu ama kwa PM hapa JF, nao pia wamechangia sana kunifikisha hapa nilipo kwani najifunza vitu vingi toka kwao; Nguruvi3, Mag3, Mkandara, Mchambuzi, Mtumishi Wetu, Mohamedi Mtoi, Thanda, AshaDii, Matola, Molemo.

Katika listi yangu sitawasahau pia Faiza foxy (rest in ban forever my love), GeniusBrain (kwa pumba zake), Ritz na zomba kwa changamoto walizonipa na wanaendelea kutoa kwa siasa ya nchi yetu, chama (kwa mahaba yake kwa ccm), Paw kwa kibano anazonipa pale ninapochafua hali ya hewa.
Kipekee sitamsahau Maxence Melo, manake huyu jamaa amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka kwangu pale ninapopewa kibano............. nimekuwa nikimpa wakati mgumu sana lakini amekuwa mvumilivu hahaaaa.
Pia sitamsahau Invisible kwa warning zake zimenisaidia kubadilika, maana kiwango cha kupigwa ban kimeshuka.
 
Asante sana kwa kutambua uwepo wangu Tata
Kuonyesha kuwa natambua uwepo wako, nimeandaa kirunguri na kichuri leo, na baada ya kula tutacheza ritungu kidogo

Tohanchane Mwita
I'm humbled (source AshaDii)

Na mwisho kabisa ningeomba niwatambue marafiki wanaonifanya nilipende jukwaa la MMU na kulitembelea mara kwa mara tofuti na siku Kongosho,
 
Mamndenyi, natoa asante nyingi kwa jf members kwa ujumla wao,
kipekee sana kwa :-

(1) jukwaa la Business & Economic Forum kitengo cha Ujasiriamali ambapo imenisaidia kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kisasa, pia nimeweza kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza sabuni.

(2) jukwaa la Matangazo madogo limenipa rafiki walionisaidia kupata shamba la kupanda miti huko mafinga (Love you more my sons), na kupata marafiki walionishauri namna ya kuendeleza shamba langu huko kibaha (more respect lecturer wa OUT), pia kwa kusoma postings za marafiki wengine nikapata ushawishi wa kuanzisha biashara ambayo inasonga vizuri. na mengi mengine nimepata kutoka kwenye hili jukwaa,

(3) Kupitia jf niliweza kumfahamu TBJoshua na kwa kupitia masomo yake nimepona mambo mengi sana.

(4) Ninapata shangamoto nyingi kupitia jukwaa la wakubwa japo sitoi comment.

(5) Naomba niweke haya majina mara zote nayakumbuka hata nikiwa nje ya jf

theboss, RR, Mtambuzi, AshaDii, Kongosho, Arushaone, Bishanga, Boflo, mia, @Ruhazwe (my son), Asprin, Erickb52, Katavi, zomba, charminglady, nugu mamaya, Mwanakijiji, Ruttashobolwa, BadiliTabia, gfsonwin, @Mkiruwa, Mkuu rombo, Baba V, Dena Amsi (Mjukuu), @Saint Ivuga, @Superman (Asante kwa 'like'), Cantalisia, Pdidy na wengine wengi nawapenda sana.

Nimeandika hivi ili wengi wajue kuwa jf siyo mahali pa kupoteza muda bali ni zaidi ya darasa la mafanikio.

Last edited by a moderator:
I'm humbled (source AshaDii) for your appreciation.
Kwakweli sikuwa natambua kwamba ninaweza kuwa na mchango mkubwa katika maisha yako, ubarikiwe sana mamito.

Kusema kweli hapa JF watu ni wengi sana waliochangia mimi kuwa hapa nilipo leo na kuwa hivi nilivyo leo kwa namna moja ama nyingine.
Kwakuwa siwezi kuwataja wote lakini kwakweli niwataje wachache kama Mtambuzi, Zion Daughter, WiseLady, Asprin & Filipo (hawa tumetoka nao mbali sana!!), Preta, PakaJimmy, zumbemkuu, Mungi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula na Dark City.

Lakini pia kuna watu ambao sijawahi kuonana nao lakini nimekuwa nikiwasiliana nao mara kwa mara aidha kwa simu ama kwa PM hapa JF, nao pia wamechangia sana kunifikisha hapa nilipo kwani najifunza vitu vingi toka kwao; Nguruvi3, Mag3, Mkandara, Mchambuzi, Mtumishi Wetu, Mohamedi Mtoi, Thanda, AshaDii, Matola, Molemo.

Na mwisho kabisa ningeomba niwatambue marafiki wanaonifanya nilipende jukwaa la MMU na kulitembelea mara kwa mara tofuti na siku za mwanzo; Madame B, Kongosho, Ciello, gfsonwin, Kaizer, Kabakabana, The Finest, The Boss, lara 1, cacico, mwaJ, mdida,

Heeee! we ndugu Mwita Maranya sijakusoma siku nyingi! By the way, hivi ule uchumba wetu kupitia kwa babu Asprin uliishia wapi? Maana sielewi kama babu alishanioza kwa mkurya au la!Lol!
 
Last edited by a moderator:
Hata TRA wanajua under 18 lazima ulipie uchakavu!!
Uchakavu wanaanza kulipia wenye miaka 22

Hao wote uliowataja hata mie nawakubali sana tu. Kweli mie natamani sana kukutana na Kongosho! Ila nimecheka sana kuhusu hizo sehemu (tandale na tandika) ulizo niassociate nazo! Duh, itabidi nikawatembelee jamaa zangu wa tandika!

Nitakukaribisha kwangu Tandale, ni mdundiko kwa kwenda mbele
Ha ha ha, ila sura nafanana na babu yake baba yangu, usije kimbia tu
 
Ngoja nikaitafute hii sred, imenitamanisha kuona walikukimbizaje na mapanga

Ah Da King'asti dawa zako ndo zimenifikisha hapa aisee yaani nikianzaga kuwaza maroroso tu picha yako inanijia ukiwa na gufimbo gukuuuuuubwa unanikoromea. Sasa mie ni mtu wajameni kusema kweli isingekuwa wewe na wanaMMU wengine mie thamani yangu kama mwanadamu na mwanamke ninayestahili mapenzi ya dhati nisingeijua kamwe. Nimejifunza mengi sana humu kusema ukweli na japo kuwa bado sijaingiamo humo ulingoni lakini sina hali ya unyonge wala papara tena kama ilivyokuwa mwanzo. Ile thread ya nalivua pendo kwangu ilikuwa ni mwanzo wa maisha mapya kabisa ambayo ninyi ndio mlishika majembe, mapanga na mashoka kunichongea barabara.

Ninawashukuru sana wote na MUNGU wangu awabariki ninyi na familia zenu. Amen
 
Babu Asprin, mkuu AshaDii kakutaja, thanx AshaDii kwa kutambua uwepo wangu humu jamvini, am humbled.....

Oh ahsante kwa taarifa. Waweza niambia na haya mapwenti nayoyamwaga huku mbona wewe hujanitaja?

Siku ikipita hujanitaja wallah ntaweka uchawi kikojoleo chako kihamie magotini.

Chezeya babu mpenda misifa weye?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom