Acha Ungese Dogo
anhaa!sawa!:becky:
Waliobadilisha maisha yangu hapa JF ni
The Boss, Mnama,BAK, Mahmetkic, Mute na Asprin.
Hawa nawakubali kwa michango yao Mtambuzi, Kiranga, Ashadii na Mwali.
Kwenye vichekesho hawa hunichekesha na hufanya nitabasamu siku nzima Boflo, Excy zamani Excellent na Ndallo.
Ni wengi kwa kutaja nitajaza karatasi kama kumi ila sitoweza kusahau michango ya mapacha wawili ambao ni Snowhite na SnowBall.
Mbarikiwe wote, pamoja sana.
Ever Remaining,
Sakapal.
anhaa!sawa!:becky:
i hope utaondoka meno yote nje kama hapo lol
baada ya hiyo threesome lol
hapo kwenye red vipi?au ndo swagger!ahahahahhahahhahahha lol!
hapo kwenye red vipi?au ndo swagger!ahahahahhahahhahahha lol!
ah manake hamchelewi nyie kujipa lugha zenye r ,r nyng pale kati nini!ahahhahahhahahhah hebu niache fujo mie nisije nikanyimwa offer ya threesome lunch!ha ha ha haa swagger zipi tena?
typo error tu lol
ah manake hamchelewi nyie kujipa lugha zenye r ,r nyng pale kati nini!ahahhahahhahahhah hebu niache fujo mie nisije nikanyimwa offer ya threesome lunch!
Nitaumbuka bure lol
nikawa 'sushi boy' badala ya Boss lol
I'm humbled (source AshaDii) for your appreciation.
Kwakweli sikuwa natambua kwamba ninaweza kuwa na mchango mkubwa katika maisha yako, ubarikiwe sana mamito.
Kusema kweli hapa JF watu ni wengi sana waliochangia mimi kuwa hapa nilipo leo na kuwa hivi nilivyo leo kwa namna moja ama nyingine.
Kwakuwa siwezi kuwataja wote lakini kwakweli niwataje wachache kama Mtambuzi, Zion Daughter, WiseLady, Asprin & Filipo (hawa tumetoka nao mbali sana!!), Preta, PakaJimmy, zumbemkuu, Mungi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, Dena Amsi, Maxence Melo na Dark City.
Lakini pia kuna watu ambao sijawahi kuonana nao lakini nimekuwa nikiwasiliana nao mara kwa mara aidha kwa simu ama kwa PM hapa JF, nao pia wamechangia sana kunifikisha hapa nilipo kwani najifunza vitu vingi toka kwao; Nguruvi3, Mag3, Mkandara, Mchambuzi, Mtumishi Wetu, Mohamedi Mtoi, Thanda, AshaDii, Matola, Molemo, Michelle, carmel na Riwa.
Na mwisho kabisa ningeomba niwatambue marafiki wanaonifanya nilipende jukwaa la MMU na kulitembelea mara kwa mara tofuti na siku za mwanzo; Madame B, Kongosho, Ciello, gfsonwin, Kaizer, Kabakabana, The Finest, The Boss, lara 1, cacico, mwaJ, mdida, nivea, platozoom, snowhite, SnowBall, Boflo, King'asti, MwanajamiiOne na MziziMkavu.
Sasa koleji meti mbona hujawaambia wadau nlivyokuwa nakukatia nyanga za hesabu? Bila mimi ungemaliza chuo wewe?
najua utabisha kwa sababu maisha yameshakubali.
Mzee wa LMM, mambo yote balcony na muzeya ya Arusha Filipo.
Namshangaa sana Filipo hajanimenshen kama mojawapo wa watu waliyoyabadilisha maisha yake.
Kijana hatari sana yule