Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
kongosho umeanza yaani Mwita Maranya hata nia hajaonyesha umeshaanza kumpeperusha haya na tuendelee na marathon yetu kwa Theboss uone. Mi mwenzio naweza kuhonga hata shamba shauri zako.
Dada mkubwa Mamndenyi usiwe na shaka na Kongosho anataka kunitisha tu ili nikose vinono toka kwako.
Mimi ndo hivyo tena nimeshatangaza nia labda kama bado una mashaka kidogo kwamba Konnie atakuzidi speed hapo nitakuelewa. lol
Last edited by a moderator: