sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,895
- 5,308
Still you can add other five guys bro..do you mean FF was each and everything for you?
Hivi kweli huyu dada FF yupo wapi?
Still you can add other five guys bro..do you mean FF was each and everything for you?
wew unaish mkoa gani mwita nikija nikutafute? najua sitakosa japo dinner lol!Umesema kweli kabisa gfsonwin, hapa JF kuna mkusanyiko wa wataalamu wa fani mbalimbali.
Kama tukiwa serious tutafaidishana sana zaidi ya tunavyofikiria. Binafsi kadri navyopata nafasi ya kukutana na mwanaJF mmoja ninajifunza kitu toka kwake na yeye anajifunza kitu toka kwangu.
Tulipofikia sasa JF ni familia moja, sijawahi kwenda mkoa wowote hapa Tanzania nikamkosa mwanaJF. Kwahiyo kila mahali ninapokwenda ninajiona nipo nyumbani kwakuwa na wenyeji.
Aksante kwa kuniacknowledge hapo kwa red hahahahhah (We si umeiacha vacant so acha nijichukulie ujiko mie).
MTM/TIMING you have been missed aisee.
wew unaish mkoa gani mwita nikija nikutafute? najua sitakosa japo dinner lol!
Wamekupiga ban mpaka umejifunza kunyoosha lugha enhe?lol
Kwani ulikuwaga na tabia mbaya sana? Hebu share yodur inspirayional store
Hujui mie ni wifi wa LIzzy tena wa ukweli kabisa??
Hata wewe naweza kuwa dada tu, mradi abaki kuwa wifi yangu
Thanks sana Mamndenyi pia nawashukuru wote kwa kuwa pamoja katika maisha haya...tunajifunza mengi na namna ya kuishi![SIZE=3 [USER=41512]Mamndenyi[/USER], natoa asante nyingi kwa jf members kwa ujumla wao,
kipekee sana kwa :-
(1) jukwaa la Business & Economic Forum kitengo cha Ujasiriamali ambapo imenisaidia kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kisasa, pia nimeweza kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza sabuni.
(2) jukwaa la Matangazo madogo limenipa rafiki walionisaidia kupata shamba la kupanda miti huko mafinga (Love you more my sons), na kupata marafiki walionishauri namna ya kuendeleza shamba langu huko kibaha (more respect lecturer wa OUT), pia kwa kusoma postings za marafiki wengine nikapata ushawishi wa kuanzisha biashara ambayo inasonga vizuri. na mengi mengine nimepata kutoka kwenye hili jukwaa,
(3) Kupitia jf niliweza kumfahamu TBJoshua na kwa kupitia masomo yake nimepona mambo mengi sana.
(4) Ninapata shangamoto nyingi kupitia jukwaa la wakubwa japo sitoi comment.
(5) Naomba niweke haya majina mara zote nayakumbuka hata nikiwa nje ya jf
theboss, RR, Mtambuzi, AshaDii, Kongosho, Arushaone, Bishanga, Boflo, mia, @Ruhazwe (my son), Asprin, Erickb52, Katavi, zomba, charminglady, nugu mamaya, Mwanakijiji, Ruttashobolwa, BadiliTabia, gfsonwin, @Mkiruwa, Mkuu rombo, Baba V, Dena Amsi (Mjukuu), @Saint Ivuga, @Superman (Asante kwa 'like'), Cantalisia, Pdidy na wengine wengi nawapenda sana.
Nimeandika hivi ili wengi wajue kuwa jf siyo mahali pa kupoteza muda bali ni zaidi ya darasa la mafanikio.
[/SIZE]
Dada mkubwa Mamndenyi sasa ninaziona busara zako dhahiri.
Nimesoma comments za wadau juu yako na sasa nimekubali wewe ni zaidi ya dada mkubwa ama mama mkubwa kama wanavyokuita watu wengi hapa. Bila shaka nitajitahidi kujisogeza karibu nawe ili nijipatie maujuzi unayowapatia wengine!! lol
Hahhahaha kaka Mwita Maranya......karibu nikuambukize upako si unaona MTM?TIMING kanipaisha hapo kati hahahha.Tunapoelekea mwisho wa mwaka huu wa 2012 nita propose kila mtu achague mtu mmoja wa kukutana nae "face to face"
Nitakuchagua wewe mjukuu mtiifu wa babu asprin ambaye ameanza kunielekeza namna ya kufanya ukaguzi!! lol
BTW, thread zako huwa nikizisoma zinakuwa zimetulia sana na zimejaa vitu vya uhakika. Ubarikiwe sana mamito.
Arifu hapo sijakuelewa,, Ina maana mimi umeniorodhesha kama mke wa mtu?
Hebu nitake radhi Bwashee...
Kumbe umeolewa wewe eeeh....haya hongera zako!
Dogo umerudi?
Vipi Bwana 'ako Mzungu hajambo?
Nasikia ile ID ya Muke ya Muzungu ni ya kwako eti...
He he he he, unadhani jogoo wa kienyeji anafugwa kama broiler??
:grouphug: Sina choyo nawahug wote hadi asprin mwenyewe
Ndege yupi niliyempeperusha? Huyo atakuwa alikuwa keshajifunga parachuti lake
Mie nikawa kisababu tu
Mwambie Lizzy wifi wake wa ukweli anammiss sana
Sare itakuwa dera la zambarau, skintait ya orange, wigi la utajiju, viatu vyekundu
Make up kama ya haloween.
Arifu hapo sijakuelewa,, Ina maana mimi umeniorodhesha kama mke wa mtu?
Hebu nitake radhi Bwashee...
Ukifanya hivyo utakuwa umejitendea kitu ambacho ni zaidi ya haki. Watoto wazuri kama wewe hamuhitaji kubugudhiwa na mibabu kama Asprin, hujiulizi ujana wake alikula na nani aje kuzeekea kwako?